muhosni
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 1,108
- 152
- Thread starter
- #21
Kilaini si ndiye aliyetuambia kuwa Jakaya alikuwa chaguo la Mungu; imekuwaje tena? Je , Mungu alikosea?
Nadhani tumsamehe, inawezekana kwa wakati huo alikuwa hajagundua usanii wa magamba. Kwa kauli hii sasa naamini ametubu dhambi zake. Tumpe moyo aongeze nguvu ya mashambulizi hadi kieleweke.