Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Azam2 TV

http://154.73.170.220:1935/AZAM2/myStream/playlist.m3u8

Azam sports HD
http://154.73.170.220:1935/azamsports/myStream/playlist.m3u8

Unacopy hizo link nenda kwenye search

d9eaa02f751f17a118ef096e1890a9b1.jpg

Paste hizo link moja moja

Baada ya hapo player hizo link
Zitaplayer vizr tu pia unaweza kuzisave kwa future use

NDA ya live stream player kuna channel nyingi pia km sky sports
 
Nipo abroad natamani kucheki mechi na mambo mengineyo, lakini nikifungua website za mashirika husika mfano Azam TV sioni option ya streaming....msaada wenu wakuu, au kama pana youtube channel ya mambo haya ambapo naweza kuangalia tv za nyumbani nielekeze cha kufanya.
 
Azam TV wapo online kwenye lice stream

Chakufanya ingia kwenye website yao then utaona channel zilizo online

Click hizo channel then play kwa kutumia MX player au live stream player
 
Azam TV wapo online kwenye lice stream

Chakufanya ingia kwenye website yao then utaona channel zilizo online

Click hizo channel then play kwa kutumia MX player au live stream player
Nimejaribu naona kama haipo active...sijajua nakosea wapi
 
Back
Top Bottom