computerkiddy
JF-Expert Member
- Oct 1, 2015
- 488
- 532
na mwenye link ya kupata addons za dstv naomba atusaidie wana jukwaa.........Mkwawa tutengenezee hii kitu tuiweke kwa kodi
na mwenye link ya kupata addons za dstv naomba atusaidie wana jukwaa.........Mkwawa tutengenezee hii kitu tuiweke kwa kodi
@chiefmkwawa tunaomba uhusike na hii kwa kodi mkuuWadau kwa heshima ya jf members nawasilisha mzigo ufuatao- http://ec54.ott.bzdv.net/stream,195,341,830,.m3u8 Hiyo ni ITV Tanzania.
Hii nimeipenda pamoja sio HD lakini ni nzuri hakuna vilingi kabisaKwa wale ambao mtandao uko slow tumia hii hd zote zilikuwa zinastuck lkn hii mwendo mdundo,nimeangalia mechi ya Chelsea vs man utd yote kwa 220 mb tuu.
Dstv walikuwa zem tv but now days wanazinguaa kufungukana mwenye link ya kupata addons za dstv naomba atusaidie wana jukwaa.........
Naomba link ya hizo tv kwa simu nimeshindwa kufunguakazi kwako chief mkwawa
zicopy then paste hapa usieke mfumo wa picha au nipe link ulipozipatakazi kwako chief mkwawa
Hizo urls kuna njisi ya kuzitumia kwenye app ya kodi na nimefuata maelekezo yote kwa kuzi-copy zote na kupaste kwenye website ya pastebin.com na kupata link moja lakni kila nikiiweka kwenye kodi haikubali hiyo link ya afrika. Nimejaribu za tofauti na Africa zimekubali.Sorry chief mkwawa link kamili ni hii- www.iptvlinks.com2014/04/iptv-africa.html?m=1
Channel za documentary zipo kwenye add-on ipi Chief-Mkwawa@ hapa nimehangaika lakni bado.
Kwenye android haujajaribu?nimeziweka kwenye kodi zinafanya kazi vizuri tu japo quality si kubwa sana ila server ni nzuri hazinati nati
jinsi ya kuzieka kwenye kodi yako
1. download attachment hapo chini
2.ikiwa kwenye pc right click then extract
3. litatokea folder la tv ndani utakuta file la tv.strm
fungua kodi then fuata njia hizi
nenda video then files then add videos, kutatokea windows click browse halafu navigate hadi lilipo folder la tv then click ok utaona neno tv ukiliclick zitatokea tv zote.
step ni hizo hizo kaka, labda hapo kwenye kulocate file na kuli extract itabidi uwe na file manager kama es file explorerKwenye android haujajaribu?