Kila Uamkapo asubuhi saa 7:00am-10:00am

red....ntakutana nalo wapi hilo dudeee...umenitisha!!!blue...nimejaribu kupima "IQ" yako!!
Mwana jf kila uamkapo asubuhi utakutana na KALABLASHA TATA ambapo ndani kutakuwa na mada ya kuzumzia kwa asubuhi hiyo tafadhali usikose kupitia.
Hii itaanza kesho nenda search andika kalablasha tata kisha soma na utoe maoni yako.mada hizi zitatoka kwa watu tofaut wenye uwezo wa kufikiri wa hil ya juu "IQ".
Pia unaweya pendekeza mada ya kuongelewa cku zijazo.
Pitia kalabrasha tata kila cku uwe miongoni mwa wenye kufurahia jf.
 
Na wewe uwe unapitia maandishi uliyoandika kabla ya ku post,utakuja kuandika matusi wakati haikua nia yako...!!
 
Back
Top Bottom