Kila siku ugomvi

Mkwaruzo

JF-Expert Member
Feb 21, 2011
563
98
Baada ya siku kadhaa kuingia ktk ndoa, mke aliamua kwenda kwa mama yake kumpa malalamiko juu ya mumewe. Akamwambia,
Mtoto: mama tokea aniowe n-vita-tuu n-vita-tuu.
Mama: angalau wewe mwanangu, kwasababu baba ako hata hicho kimoja ni kwa tabu.
Mtoto: siyo hivyo mama, yani kila siku ugomvi
 
Ha! ha..Wadau huyo binti haoni mama yake kavumilia kupata hicho kimoja japo ni kwa taabu sana, binti ongeza vionjo ( ubunifu) hilo litakuwa suluhisho la kipigo.
 
Back
Top Bottom