Kila siku tunawaponda/kuwashtaki wenzi wetu....

DASA

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
1,031
301
Jamani wakati mwingine na tuwasifie humuhumu JF wanapofanya mazuri. yani tunakuwa kama tunajuta kuoa/kuolewa. Loh!
 
DASA we umeshawahi kumsifia mkeo humu. hebu anza we tuone. Ila kweli watu wanapondana tu.., halafu usikute wakikutana nyumbani kila mtu anakuwa mpole kwa mwenzake... tabasamu za kutosha............ utadhani wanaongeleana vizuri huko nje.
 
Hii thread ni ya watoto wachanga tu au na watu wazima wanachangia? Maana the first three are all lovely babies... lol
 
kwa sababu nimekwambia sina mume au? Kwahiyo ukishakuwa above 18 lazma uwe umeolewa?

Haya basi huyo mchumba vipi!! msifie basi hapa!!.

Sio siku akikuboa ndio unahaha kutaka ushauri.
 
Back
Top Bottom