Nadani suluhisho pekee ni katiba mpya.Pili natumaini wengi hatujui majukumu ya kiongozi mkuu na watendaji wake.Mimi ni baba nadhani nisipo kuwa na msimamo nzuri na ufuatiliaje si dhani kama familia yangu itakuwa bora japo kwa wasio kuwa na jicho la tatu wanaweza sema mkwe wangu hawezi kulea watoto na nk.Ila msingi mbovu na nzuri wa familia yangu ni mm mwenyewe baba.