Kila siku anahitaji Penzi jipya imekaaje hii

Hii inatokea sana pale n'tu anapo taka kubadilishana radha.
Yawezekana huwa ananogewa na size karibia zote sasa anataka kukumbushia kila wakati.


teh teh teh Mpwaaaaaaaaaaaaaaz hajui kuwa namaliza bucha bure tu.....................ni same nyama!:lol::lol::lol::lol::lol:
 
hivi haya majini mahaba ndio ma nini jamani nimeona post nyingine tena jina mahaba loh hatari kweli kweli:A S 20:
kama yalivyo majini mengine, haya yanabase sana upande wa mapenzi, na yanakuwa yanakupa masharti, mengine kwayo mimba ni uchafu!! mengine hayataki kabisa uwe na m'me!!! mengine yanakuchagulia m'me!! mengine ndo ukilala unahisi unafanya mapenzi na mtuna ukiamka unajikuta umelowa kam ulikuwa unafanya mapenzi. ni mabo kama hayo my dia
 
...Mie binafsi naona kama anashindwa kuelewa mwili wake ni wa thamani sio kila mtu anayekuja usoni kwake anastahili kupewa penzi...:A S 39:
..



huyo mdada hatoi penzi...: kwa kila anayekuja usoni kwake bali anatoa ngono. kwa hakika hafai kuolewa ndio maana angagement zote 3 zimeproove failure. ningeonana naye ningemshauri awe sex worker.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom