Kila saa moja jioni

SI unit

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
1,953
766
Baada ya fungate la ndoa yao, bwana harusi alikaa bi harus akaanza kumpa sheria:
Mr: Nitakua natoka na kurud mda ninaotaka na kwenda ninapotaka. Unatakiwa unipikie chakula kitam kila siku. Pia ntakua natoka na washkaj wangu kwenda viwanja kila ntakapojickia na sitatarajia complain zozote kutoka kwako. Sawa?
Bibie akajibu: I'm ok with all those but remember my schedule to have sex is every day 7p.m whether u r here or not!
 
Hapo inabidi jamaa abadili msimamo ili kila siku awepo kugaswa dozi ndo aendelee na washkaji wake aendako
 
Ha! Mwanamke wa hivyo kumkomoa unampa "ok" ila na we unamwambia ni saa 6 usiku,uwe umerudi au bado!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom