Kila nikimshoot mrembo anakata moto msaada please.

Criss

JF-Expert Member
Mar 19, 2011
858
252
Wana jamii wenzangu naomba msaada kiukweli ukweli,

Kuna jamaa yangu wa karibu sana anatatizo ambalo lina msumbua sana kichwa na inafikia hata utendaji kwenye biashara zake kushuka.

Naomba nisisitize hii ni habari ya kweli na inamtesa mtu hata sasa na anategemea sana msaada wenu wana jamii.

Huyu jamaa ni mfanya Biashara na mchumba wake yupo Idara ya uhamiaji (emigration)
Bado hawajafunga ndoa lakini ukaribu wao umeanza tangu wakiwa watoto kabisa shule ya msingi hadi A Level wamesoma shule moja ila baada ya hapo yule msichana wazazi wake walihamia Sweden kikazi hivyo walihama nae.

Katika kipindi hicho chote hawakuwahi kukutana kimwili (nikimaanisha ngono)
lakini kutokana na mahitaji ya kimwili kuwazidia ilikua tarehe 13/4/2010 mrembo yeyemwenyewe akashawishi kutoa mzigo ili na yeye aingie kwenye ulimwengu maridhawa.

kweli kwa siku ya kwanza mrembo alikua msumbufu kidogo akibananishwa kona apigwe pini nikianza kukandamiza tu anapiga kelele hata wakati mwingine ananing'ata kabisa ,mara anajifungia bafuni mwisho wa siku zoezi lilikamilika ila shida ni kwamba alizimia kwa zaidi dakika 40 na kinacho mchanganya jamaa zaidi ni kwamba ile hali ya kuzimia inaendelea hadi sasa yaani jamaa akimiliki jukwaa na mrembo akipiz anazimia mojakwamoja hii hali jamaa inamnyima amani kabisa na kwa kua anampenda sana hata kumsaliti hathubutu .
Wamesha enda Hospital tofautitofauti lakini mrembo bado anaendelea kuzimia tu.

Je!hali hii inasababishwa na nini?
Ni hali ya kawaida
Nini madhara yake?
Nini tiba yake?
There any alternative to keep her safe?

Msaada wenu nimuhimu sana wakuu
 
Pole sana, japo kutokana na maelezo yako napata taabu kuelewa kama ni wewe au jamaa yako! Anyway, jaribu hata kwa Babu Mwaisapile.:drum:
 
Wana jamii wenzangu naomba msaada kiukweli ukweli,

Kuna jamaa yangu wa karibu sana anatatizo ambalo lina msumbua sana kichwa na inafikia hata utendaji kwenye biashara zake kushuka.

Naomba nisisitize hii ni habari ya kweli na inamtesa mtu hata sasa na anategemea sana msaada wenu wana jamii.

Huyu jamaa ni mfanya Biashara na mchumba wake yupo Idara ya uhamiaji (emigration)
Bado hawajafunga ndoa lakini ukaribu wao umeanza tangu wakiwa watoto kabisa shule ya msingi hadi A Level wamesoma shule moja ila baada ya hapo yule msichana wazazi wake walihamia Sweden kikazi hivyo walihama nae.

Katika kipindi hicho chote hawakuwahi kukutana kimwili (nikimaanisha ngono)
lakini kutokana na mahitaji ya kimwili kuwazidia ilikua tarehe 13/4/2010 mrembo yeyemwenyewe akashawishi kutoa mzigo ili na yeye aingie kwenye ulimwengu maridhawa.
kweli kwa siku ya kwanza mrembo alikua msumbufu kidogo akibananishwa kona apigwe pini nikianza kukandamiza tu anapiga kelele hata wakati mwingine ananing'ata kabisa ,mara anajifungia bafuni mwisho wa siku zoezi lilikamilika ila shida ni kwamba alizimia kwa zaidi dakika 40. na kinacho mchanganya jamaa zaidi ni kwamba ile hali ya kuzimia inaendelea hadi sasa yaani jamaa akimiliki jukwaa na mrembo akipiz anazimia mojakwamoja hii hali jamaa inamnyima amani kabisa na kwa kua anampenda sana hata kumsaliti hathubutu .
Wamesha enda Hospital tofautitofauti lakini mrembo bado anaendelea kuzimia tu.
Je!hali hii inasababishwa na nini?
Ni hali ya kawaida
Nini madhara yake?
Nini tiba yake?
There any alternative to keep her safe?

Msaada wenu nimuhimu sana wakuu

mkuu tulia ueleze shida yako vizuri....inaonekana wakati wa kuandika ulikuwa unarukaruka sana.....na hata ukisema ni wewe haina ubaya....utasaidiwa tu....hapa ndio JF.....hakuna mtu anakuona kwenye keyboard huko.
 
huyo bidada ana mihemko ndo maana anazimia baada ya wewe kupizi. Hold ur desire, mwache dada amalize kabla yako ndipo nawe umimine hayo mauji yako utaona kama dada atazimia.
 
Ndio matatizo ya kubakana hayo. Dada aliathirika kisaikolojia, anawaza na kuogopa maumivu ya tendo. Angebembelezwa na kuanzwa kwa hiari, labda angeujua utamu na kuufurahia.
 
heehheeheh na pia nna shida ya jamaa angu jamani,,,
mkuu tulia ueleze shida yako vizuri....inaonekana wakati wa kuandika ulikuwa unarukaruka sana.....na hata ukisema ni wewe haina ubaya....utasaidiwa tu....hapa ndio JF.....hakuna mtu anakuona kwenye keyboard huko
 
huyo mdada anatatizo la kisaikolojia,nawashauri wamtafut saikologist atawasaidia!!!!
 
Ndio matatizo ya kubakana hayo. Dada aliathirika kisaikolojia, anawaza na kuogopa maumivu ya tendo. Angebembelezwa na kuanzwa kwa hiari, labda angeujua utamu na kuufurahia.

Lakini kwa mujibu wa maelezo ya jamaa anadai kulikua na maandalizi ya kutosha kuanzia chakula lain,romantic song,maua hadi rangi za pazia labda kunatatizo la ziada Dada angu.
 
mkuu tulia ueleze shida yako vizuri....inaonekana wakati wa kuandika ulikuwa unarukaruka sana.....na hata ukisema ni wewe haina ubaya....utasaidiwa tu....hapa ndio JF.....hakuna mtu anakuona kwenye keyboard huko
Ni makosa tu ya kiuandishi lakini muhusika sio mimi.ahsante kwa michango yenu.
 
mbona km vle ni WEWE? Anyway pole na matatzo, nendeni kwa m2 wa saikolojia atawasaidia, manake inaonekana tatzo lko upande huo!
 
huyo bidada ana mihemko ndo maana anazimia baada ya wewe kupizi. Hold ur desire, mwache dada amalize kabla yako ndipo nawe umimine hayo mauji yako utaona kama dada atazimia.

Ahsante kwa ushauri.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom