Kila nikiingia na mipira narudi nayo nje!!!@@

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,144
Wapenda kila nikiingia na mipira narudi nayo nje
na hii imekuwa baya pale binti anapoanza kuvua yaani hamu ya mipira inaondoka najikuta kama sio mimi yaan sijui ni pepo ama naombeni mniombee kwa hili so far ni still negative,single/application is availlable,pmm for permanent life sentence
 
Mbona sikuelewi mkuu kule umekataza wanakwaya sasa na huku mipira unatokanayo nje! vp mkuu heheeeeeeeeeeee!
 
Unawoga ondoa woga mkuu...Wasiwasi kama umewahi kubakwa na jimama
 
Mbona sikuelewi mkuu kule umekataza wanakwaya sasa na huku mipira unatokanayo nje! vp mkuu heheeeeeeeeeeee!
Hapo Basi!!!!!, pia mimi kanichanganya, mwana kondoo huyoooo, aenda na fisi!!!!!!!!!!!!!
 
Karibia unafikisha quota yako ya kucheza peku.Ukicheza peku na vimwana wapya watatu tu utafikisha salio lako na kuukwaa muwaya.
 
Acha tamaa ya fisi, ukiona mfupa, mate yakudondoka......

....BADO TUNAKUHITAJI, USIJEONDOKA NA MIWAYA... Mpira ni muhimu hasa kwa mtu kama wewe mwenye tamaa ya Fisi...TAKE CARE
 
Bora usiende na mipira, kwani unafanya wenye maduka wauze sana wakitegemea watu wanatumia kumbe la.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom