Kila nikiamka

Mkishaanza kuzitazama ndoa kwa miazania ya kiuchumi ndo hapo mnafikisha mpaka 40 bado mna bung'aa hey now is the right time kama hukujipanga back then; mwenzio akija atakusaidia kupanga!

Acheni ku cmplicate mambo................mnajipanga kufanyaje ............kuinunua BOT? ama?:yawn:

kaka hapo nakuunga mkono kwani nina rafiki yangu maisha yake yamenyooka baada ya kuoa
 
Dalili kuwa wewe ni mwanaume rijali hakuna hata chembe ya wasiwasi hapo. kitu kiko mwake Kimbweka.

Lakini pia miaka 34 ndo wakati mzuri wa kuoa kama mambo yako yamekaa sawa na umejipanga kuoa wakati/umri huu.

JS anaweza kukufaa huyu, hata kama hana mali
 
Wakuu habarini??
Mimi ni kijana wa miaka 34 bado sijaoa ila nina GF na huwa tunakutana kama mara 4 ama 5 kwa mwezi, Sasa tangu mwaka huu uanze kila nikiamka mtinange nao unaamka juuu unasimama kwelikweli kama dk 15 hivi ndo unarudi kawaida, sasa hii huwa inanitesa sana maana inabidi nikae dk hizo 15 kusubiri upoe ili nikapige bafu maana siwezi kutoka kwenda kupiga bafu watu ninao kaa nao unaweza kutana nao wakaona kitu kimetunisha nguo! Na je hii ni dalili ya kuoa sasa???
hivi mwanaume anakuwa kijana mpaka miaka mingapi?
 
mwisho nadhani ni 35 (kwa mujibu wa katiba ya UVCCM) kwa hiyo jamaa kabakisha mwaka mmoja tu anatolewa kwenye kundi la vijana na kuingia kwenye uzee bila mke
 
Sa kama hujapata the right one uoe kwa minajili ya kufukuzana na umri!!

Unaweza ukawa na watoto katika age ya 22 lakini wakawa majambazi,wabakaji na etc.

Unaweza ukazaa katika age ya 20 lakini ukafa katika age ya 25. Mtoto wako atasomeshwa na nani?

Msiwe kama hamna matumaini kuwa kuna mungu. Yaani unadiriki kumpagia |Mungu eti nizae katika age ya 30 ili nikistaafu niwalee watoto vizuri.
Kwenye bibo kuna mshikaji alitafuta utajiri baada ya kuupata akasema sasa ni muda wa kula na kunywa. Mungu akamwambia " Mpumbavu wewe, leo nachukua roho yako".

Mambo yote ni mipango ya Mungu.
soma nyakati wewe kila mtu anajua kama MUNGU yupo lakini kuna vitu vingine inabidi uchekeche akili yako. Kifo kipo na kila mtu anajua lakini kifo sio sababu ya mtu kujipanga tunatakiwa tusomeshe familia zetu wakati bado tuna nguvu za kutafuta pesa sio uzeeni ambako uwezo wa kufanya kazi unashuka sasa mtu unaoa ukiwa 35 ni tofauti na aliyeoa 25 kwani kama wote walizaa ktk mwaka wa ndoa na walizaliwa mwaka mmoja ina maana yule wa 25 mtoto wake atakuwa 10 yrs order zaidi ya wa 35 na kama wakizaa let say watoto watatu kila baada ya miaka miwili ina maana huyu wa kwanza atamaliza kusomesha mtoto wa mwisho miaka 10 kabla ya yule wa pili huoni tu bado kuwa huyu wa kwanza atakuwa na time zaidi ya kufanya mambo mengi ne kipindi cha uzeeni zaidi ya huyu ambaye alichezea ujana na mambo aliyotakiwa kuyafanya ujanani anakuja kuyafanya uzeeni

"Thanks for this useful post"
 
Ni washauri wazuri kuhusu maendeleo na mipango kwa ujumla. Gharama za kuishi na girl friend ni kubwa sana ukilinganisha na kuwa na mke
Mke ndio anakushauri kujenga na pia ni wasimamizi wazuri sana kwenye mambo kama hayo na pia wako sensitive sana na bei tofauti na w/ume hiyo husaidia kubana matumizi na kufikia malengo makubwa sana katika umri mdogo

...Ukibahatika,,, mke anaweza kuwa ni mshauri mzuri. Vinginevyo, anaweza kuwa ni chanzo cha shari na kero kila siku........

Kwa sasa una miaka 34 tuchukulie utaoa mwakani ukiwa 35 ukijakupata mtoto akifika miaka 10 wewe unakuwa 45 akifika 20 (umri wa kuwa chuo kikuu) wewe unakuwa 55 umri wa kustaafu kwa hiari sasa uoni kuwa huyo wa kwanza tu atakugharimu kimasomo muda wako waote unapokuwa unafanya kazi achilia hao watoto watakaozaliwa baadae. Oa haraka sana kabla hujachelewa zaidi kitaalamu ilitakiwa ukiwa 50 watoto wote wawe wamemaliza chuo kikuu ili hela unayopata ijuandae kwa ajili ya kustaafu, kwa wewe hilo umeshachelewa siku unapostaafu ujue last born ndio anamaliza form six sasa sijui chuo atalipiwa na nani

umesaini wapi kwamba utafikisha miaka 50 au 55 au 70? I mean, umesaini contract na mwenyezi mungu juu ya maisha yako? Una hakika gani kwamba ukizaa watoto ni lazima watasoma chuo kikuu? Usimpe pressure za bure kijana wa watu. yote ni maisha. Wewe unaweza kudhani umekula bingo kwa sababu mwanao yuko form one, lakini hujui kesho kuna nini. Tumuombe mwenyezi mungu.:love:
 
Kusimamisha asubuhi ni kawaida hasa kama umebanwa na haja ndogo. Watoto wadogo wa kiume wakiwa na umri wa kama miaka 1.5 au 2 ni kawaida kwao kusimamisha na ndio muda muafaka wa ku-check ubora wa shaft. Kwanza fanya utafiti mdogo kwa nini unasimamisha kila siku asubuhi na kwa muda wa dk. 15.

Hamu ya ngono usababishwa na mwili (kama huna mazoezi ya vioungo) na brain (pale inapokutuma sasa pata ngono) though brain ina-control yote haya. Ila system ya mwanaume ilivyo ni kwamba mbegu zikizidi ghalani basi utolewa hasa usiku ukiwa umelala - ndoto hiyo uitwa wet dream. Je, hupati wet dreams? Nionavyo mimi wewe huwa una-visualize huko na huyo GF wako sasa ukichanganya na haja ndogo basi matokeo ndio hayo!! Hata kama ukioa mashine itasimama tu mida hiyo ya asubuhi though sio kwa frequency yako.

Hatuoi ili tufanye ngono tu? Nakuona mara baada ya kuoa kila shaft yako ikisimama utakuwa unamwita mkeo utumbukize!!!
 
Wakuu habarini??
Mimi ni kijana wa miaka 34 bado sijaoa ila nina GF na huwa tunakutana kama mara 4 ama 5 kwa mwezi, Sasa tangu mwaka huu uanze kila nikiamka mtinange nao unaamka juuu unasimama kwelikweli kama dk 15 hivi ndo unarudi kawaida, sasa hii huwa inanitesa sana maana inabidi nikae dk hizo 15 kusubiri upoe ili nikapige bafu maana siwezi kutoka kwenda kupiga bafu watu ninao kaa nao unaweza kutana nao wakaona kitu kimetunisha nguo! Na je hii ni dalili ya kuoa sasa???
:help:Kimbweka usiogope kuona hivyo! hakuna tatizo katika hilo ni hali ya kawaida kabisa! ili jamaa asimame kama hivyo inatakiwe mishipa ya damu na tishu ziwe zimelegea na kuruhusu damu kujaa ili ipatikane presha ya kumsimamisha! wakati wa asubuhi mishipa na tishu hizi huwa zimerelax na zinaruhusu damu kujaa na kuweka pressure jamaa anasimama! hii si dalili ya kwamba sasa unatakiwa kuoa kwa sababu watu wengine huwatokea katika umri mdogo ambao hauruhusu wao kuoa! hali hii inaweza kuwatokea hata watoto wadogo! :help:cha kufanya unapoamka asubuhi fanya mazoezi ya viungo kama push ups, kuruka kamba, nk kwa kama dk 10 kisha nenda kaoge!
:nod:USIOGOPE!!!!
 
Mazoezi huwa nafanya, nitaongeza bidii zaidi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom