Kila mwanaume anaetangaza kuniowa namuacha

Nlivyobikiriwa tu ndo nlipata mimba nkiwa na miaka 20.na wala me syo fuska kama usemavyo namuogopa mungu ndiyo maana nmeomba ushaur kwan nmeona njia nienday siyo salama

ungekuwa unamwogopa Mungu usinge fanya mapenzi ungeikimbia zinaa,halafu bado unaulizia njia ya kuwa na hawa wanaumme,tusiumeume maneno hauna hofu ya Mungu ndani yako........wanaompenda Mungu hufanya mapenzi yake baba wa mbinguni yaani kujilinda na dhambi(ubaya wa namana yeyote).
 

Pole sana dear, as long as we are human beings......hii hali huwa wanayo hata wengine wala we sio wa kwanza! Nadhani hii hutokana na wepesi wa kukinahi uwepo wa mtu flani katika maisha yako (hata kama ni rafiki wa kawaida). Nakuomba sana sana chukia kabisa hiyo tabia ya wewe kuwa na wanaume wengi, chukia tabia ya kubadilisha wanaume bila tija......muache mwanaume simply b'coz hakupendi, hakujali na wala hakuthamini!! Usikweze sana na kuweka mapenzi kwenye fashion kivile......for that will never take you to the best zaidi itakufanya uone kila unaekuwa nae baada ya muda flani anachuja!! Kuwa simple na usipende kukosoa kila ukionacho kwa bf wako, pia usipende kumcompare/kucompare mapenzi yenu na ya watu wengine coz hiyo itakufanya uone kama unamiss kitu flani hivyo kupata hamu ya kukitafuta kwa mwingine!!! Ni hayo tu dearest.......all the best.
 
1. Wewe sio mgeni huku jamvini. wageni wote wanabisha hodi
2. Wewe sio mchanga kwenye mambo ya mapenzi....kitendo cha kufikia una mtoto umefuzu kwenye mambo ya kikubwa...age aint nothing..
3. Una matatizo kisaikolojia...unahitaji kuonana na wataalamu wa saikolojia watakushauri vizuri endapo utakuwa mkweli na kuweka wazi matatizo yako....huenda unajiona wewe ni mzuri mno, ubinafsi au dharau na kutochukulia relationship serious issue.

Huna upendo wa kweli na wa dhati kwa hao wanaume unaobahatika kuwa nao. unajenga uhusiano kwa maslahi tofauti au kwa sababu tuu basi mwanamke anatakiwa awe na boyfriend au mwanaume awe boyfriend kama fashion.

Baada ya kusema hayo basi ningependa kuchukua nafasi hii kukushauri kwamba chukulia wanaume wote ni sawa..usijali kipato, elimu au sura. Angalia busara na hekima za mtu na upendo wa dhati. Usichukulie mzaha mzaha inapofikia issue ya mahusiano. badili mwenendo ondoa hisia hasi juu ya wanaume na utafanikiwa kuwa na uhusiano wa muda mrefu au hata wa maisha na mwanaume utakayempenda kwa dhati.

Vile vile asije akawa anatafuta kabila lake...
 
Mankaa hivi haka kaugonjwa ka wakubwa hamkupewa hint akat wa Orientation week ukiwa first year?...
Lets forget about sijui matatizo ya kisaikolojia ama kulogwa,mchawi ni wewe mwenyewe na ni wewe unayeweza kubadilika ukiamua...embu mtizame mwezio Keku katulia na Ndeyanka mwaka wa nane sasa...kwanini usijifunze lakini kwake? Unadhani mahusiano yao hayana migogoro!...migongano ipo ila wanakaa chini...wanazungumza!
 
Mankaa hivi haka kaugonjwa ka wakubwa hamkupewa hint akat wa Orientation week ukiwa first year?...
Lets forget about sijui matatizo ya kisaikolojia ama kulogwa,mchawi ni wewe mwenyewe na ni wewe unayeweza kubadilika ukiamua...embu mtizame mwezio Keku katulia na Ndeyanka mwaka wa nane sasa...kwanini usijifunze lakini kwake? Unadhani mahusiano yao hayana migogoro!...migongano ipo ila wanakaa chini...wanazungumza!

Naamini na mm ipo cku.mungu atanipa mtu wa ukweli wa kutulia nae..nayataman cna maisha ya kyeku namumew wanavyoishi kwa upendo
 
unaweza kuwa na pepo washawasha, na ndilo lilikutuma uje hapa kutafuta wengine wa kuwamwaga baada ya hiyo calculated interval ya miezi 3 , 3.

Angalia itafika siku uanze kutumika tu, na wa neno "OA" hatatokea kamwe.
 
unaweza kuwa na pepo washawasha, na ndilo lilikutuma uje hapa kutafuta wengine wa kuwamwaga baada ya hiyo calculated interval ya miezi 3 , 3.

Angalia itafika siku uanze kutumika tu, na wa
neno "OA" hatatokea kamwe.

Kama huna ushaur ni vzr pia ukapita tu
 
Ofcoz mi nakufafananisha na "Kilamba sukari" onja-onja mzoefu ! It means umeifanya hiyo maneno yako kua Cocktail ! Wewe unahitaji sana Dua na Maombi than other thin' ! Ushauri pekee kazi bure!.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom