Kila mwanamke...

Labda ya kuendea msibani, unahitaji mtandio tu! Honestly zimenipita kushoto, ingawa nafurahia watu wakivaa. Nguo ndefu na mimi mbali mbali!

kama hupendi nguo ndefu

basi labda una mguu wa bia
 
Kaunga, mbuyu ulianza kama mchicha na usipoziba ufa utajenga ukuta.

Mie muwazi kama geti la muhimbili lol.

Ayi Kongosho yaani kumnunulia mtu sijui dela or whatever they are called kutafanya kwa Boss kubomoke?

Me l thought boma lake limejengwa kwa mawe!
 
Last edited by a moderator:
mmmh, sikujua kumbe mshauri wa mavazi yuko hapa, ni mustafa au rweyemtula??
 
Kaunga, mbuyu ulianza kama mchicha na usipoziba ufa utajenga ukuta.

Mie muwazi kama geti la muhimbili lol.

Haha ha!
Muwazi na muoga. LOL
Ila kwa Boss nakupa pole, niliacha kuwa SH long time baada ya kukosa hewa kwa jinsi tulivyojazana! LOL
 
Last edited by a moderator:
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom