Elections 2010 Kila mwanaJF anayependa mabadiliko, zingatia haya...

Tuko

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
11,178
7,319
Uchaguzi umefanyika na kwa kiasi fulani umetoa matokeo yanayoonyesha wanaharakati nchini wanaendelea kuimarika. Lakini najua hii haikuwa target yetu. Unadhani nini kifanyike ili mapungufu ya sasa yapunguzwe kipindi kijacho?

Sihitaji mjadala kwa sasa. Baada ya harakati za uchaguzi, nitaileta hii thread hapa tujadili. Nimeileta leo ili watu mpate muda wa kutafakari. Najua huu sio wakati mzuri kujadili hili kwani wengi wetu tumekabwa na hasira na jazba kwa yanayofanywa na CCM...
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom