Kila mwanadamu ana thamani lakini thamani yake nini?

Ila mi huwa nasema binadamu sisi (kwa ujumla wetu kama species) tuko wakatili sana.

Hivi wewe ushawahi kuchinja hata kuku, kwa mfano?

Mimi na ujanja wangu wote nimechinja mara moja tu na nilijisikia vibaya for days.

And most likely I'll never do it again.

But I love me some chicken....be it fried...baked....grilled...or whatever.
Umejuaje kama wewe ni mjanja?
Nauliza tu!
 
Kila mwanadamu ana thamani yake lakini wakina sie pangu pakavu....thamani yetu ni ndogo sana mbele ya wenye VIJISENTI.....
 
Mimi kuchinja nawa chinja sana, kwa mara yakwanza naya
lol me nishasema wachinjaji wote wakigoma manake ndo nakuwa vegetarian!

what is kuchinja, Mara ya kwanza naambiwa nikate kuku nipike nilijisikia ovyooo. just felt wrong. lakini sahivi nishakuwa katili wa kukata mizoga ya kuku.

kwa kweli binadamu wa kwanza kuchinja nyama sijui walikuwa na njaa kiasi gani!

#but you gotta learn man...we need a man in the house! lol

pili kabla sizoelea nilikuwa najisikia vibaya ila kwa sasa hakuna tatizo lolote,
 
Kila mwanadamu ana thamani yake lakini wakina sie pangu pakavu....thamani yetu ni ndogo sana mbele ya wenye VIJISENTI.....
Sio kweli Mkuu,

Kila binadamu ana thamani kubwa sana pengine bila kujijua ,

Chukulia huu mfano, hivi ukiambiwa upewe 1 million usd ili utolewe Jicho moja utakubali? Ukipewa $100 M ili utolewa Macho yote mawili utakubali? Ukipewa $2M ili uuze Masikio yako yote mawili utakubali?

Jibu sio rahisi mtu kuuza viungo vyake!
So,kwa mifano hiyo sisi binadamu tuna thamani kubwa sana kushinda hata tunavyofikiria!

Afya ni zawadi tosha kabisa toka kwa Mungu wetu, fikiria Steve job kabla ya kufa kwake wakati anateseka ma maradhi alikuja ku realise kua mali bila Afya ni bure kabisa!

Tunatakiwa tumshukuru Mungu sana kwa Neema alizotupa. Thamani ya mtu sio mali bali ni Utu.
 
Kila mwanadamu ana thamani yake lakini wakina sie pangu pakavu....thamani yetu ni ndogo sana mbele ya wenye VIJISENTI.....
Usiseme hivyo, thamani yako haijalishi wewe ni nani katika jamii. Wewe ni kiumbe wa thamani sana bila kuangalia "status" tulizojiwekea mpwa.

Hata hivyo, ili ujuwe kuwa kweli wote ni sawa bila kujali madaraja tuliyojiwekea, wote kwa ujumla wetu tunakufa, tunazikwa na tunasahaulika kwenye uso wa dunia. Hivyo basi, thamani yetu ipo sawa regardless.
 
Asante mpwa kwa maneno yako yenye faraja......
 
Back
Top Bottom