Kila mwanadamu ana Mungu ndani ya nafsi yake

Ni kweli,sema tu hua wanadamu wana kauvivu ka kumuendea MUNGU kwa kumaanisha.imani inakua haba kwa sababu unaomb kwa usiyemuona kwa macho na kushindwa kuendelea kukaza buti ktk maombi,kuna mtu akiahidiwa kwenda kwenye uzinzi jioni ya saa 5:00pm anakua na uzingativu wa ahadi hyo na atawahi kufika eneo la tukio hata saa 4:30pm.ukiacha hayo machafu na ukajenga kukaa mbele za MUNGU bila kukosa kwa imani utapata majibu ya unachomuomba,sema tumetingwa sana na mambo yanayopita yasiyo na faida sana.
 
Mleta mada uko sahihi na tatizo ni sisi binadam kutojitambua kuwa nguvu za uponyaji tunazo ndani yetu kinachotakiwa ni kuamini katka yeye atutiaye nguvu
Pia hata tukiangalia yesu alipokuwa anaponya alikuwa anasema

Enenda iman yako imekuponya
Alikuwa anamaanisha uponyaj uko ndan yako alichokuwa anafanya ni kufungua ile milango tu ya uponyaji
 
Back
Top Bottom