Kila muonja asali haonji kwa mara moja

kwa tarifa zenu vijana wamewasili jandoni, zaidi tuwe wenye stahamala tutajuilishwa zaidi vipi wanavyopokezana kisanduku bubu (staying mobile)
 
T-M2.jpg

Huyo jamaa wa kushoto hiyo pete kaazima kutoka kwa fame au ndiyo wanaume nao kwenda na wakati kuvaa pete za kike. Hata hivyo anaendana nayo lakini nashangaa rangi ya vidole vyake haifanani na ya uso wake.......DHAAAAA!!
 
Usharobalo ukizidi huwaga inakuwa ivi.....mara utaki chunusi...mara kutinda nyusi mara sijui kuvaa suruali modo.....mara nn...mwisho wasiku unakuwa chakla cha wengine
 
Hapa bado chenga chenga.

Lily Flower, huyo wa kushoto ni 'mtoto sio riziki' ka dada unataka mpaka mtu atumie lugha kali ndo uelewe? Jua viashiria vya mambo mrembo, utapata taabu kuwalea watoto wako. Shauri yako! Angalia hako, sijui ndo kasidiria!!!!!!!!
 
jamaa boflo wanakunywa na chai
Lily Flower, huyo wa kushoto ni 'mtoto sio riziki' ka dada unataka mpaka mtu atumie lugha kali ndo uelewe? Jua viashiria vya mambo mrembo, utapata taabu kuwalea watoto wako. Shauri yako! Angalia hako, sijui ndo kasidiria!!!!!!!!
 
Huyo jamaa wa kushoto hiyo pete kaazima kutoka kwa fame au ndiyo wanaume nao kwenda na wakati kuvaa pete za kike. Hata hivyo anaendana nayo lakini nashangaa rangi ya vidole vyake haifanani na ya uso wake.......DHAAAAA!!

sahuru yakooooo! shauri yako eeeeeeeeee! x2, shauri yako wende lote zena wangu siwezi ku.............. dhambi kwa Mungu maeeeeeeeeeee!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom