kila mtu na aubebe msalaba wake.wajibikeni serikali kwa ufisadi mliofanya.

activisty

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
315
107
watnzania tunapaswa tuwe makini nahawa mafisaDI WANAOTUDHULUMU mali zetu kwa kutumia nafasi ya madaraka yao waliyoyapata kwa hila na dhuluma.bila kujali maslahi ya wananchi wamekuwa wakijilimbikizia mali kwa familia zao na kuwaacha watanzania wengi wakiwa MASKINI kwa kutoachwa na msaada wowote.Rais amekuwa muoga wa kufanya maamuz kwani kila mara amekuwa akiwalinda wadhalimu hawa.MAWAZIRI MNACHONGOJA NN?ONDOKEN ONDOKEN.!NA WW RAIS NCHI IMEKUSHNDA ?WAACHIE WANAOJUA NA KUZINGATIA MASLAHI YA WATANZANIA THATS IS NGUVU YA UMMA.MAANDAMANO MAENDELEO PAMOJA TUSHIKE AMANI.I LOVE TANZANIA.
 
Back
Top Bottom