Mtanzanika
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 2,389
- 1,131
jamaa alienda kwa mganga ili afundishwe UTABIRI.
Mganga akamwambia jamaa avue nguo kisha ainame.Jamaa akavua akainama.mganga akaanza kumpaka mafuta matakoni.Jamaa akashtuka.
'babu vp unataka kunif**ra?!'
MGANGA:ushajua kutabiri!
Mganga akamwambia jamaa avue nguo kisha ainame.Jamaa akavua akainama.mganga akaanza kumpaka mafuta matakoni.Jamaa akashtuka.
'babu vp unataka kunif**ra?!'
MGANGA:ushajua kutabiri!