Kila Mtanzania analalamika...!!!

JACADUOGO2.

JF-Expert Member
Dec 13, 2010
930
217
1. Hukumu juu ya kesi ya Makongoro na Mpendazoe.
2. Ufisadi
- EPA
- RICHMOND
- DOWANS
- KAGODA
- IPTL
- NK.
3. Mauaji yanayofanywa dhidi ya wafuasi wa CHADEMA.
4. Maisha magumu.
5. Ukosefu wa ajira kwa vijana.
6. Safari za rais zisizokuwa na tija kwa Taifa.
7. Mawaziri kufanya ufisadi na kuendelea kung'ang'ania madaraka.
8. Nk!
Je, ni lini watanzania watafanya maamuzi magumu kwa kuchukua hatua dhidi ya udhalimu, unyonyaji, unyanyasaji na uonevu huu unaofanywa na serikali dhidi ya wananchi? Kwa nini tusubirie mpaka 2015?
 
Subirini msiwe na PUPA Vijana, nikimaliza kuwaza na kuwazua nitawajibu hoja zenu!!!
 

Attachments

  • Niliahidi.jpg
    Niliahidi.jpg
    140.5 KB · Views: 43
Muda wa story umekwisha. Acha KULALALMA CHUKUA HATUA kama huwezi support M4C.
 
Sio kila Mtanzania analalamika au yupo CDM kwa nini msiende Somalia? Au muingie msituni
Kizazi cha .com hata JKT bado km hata JWTZ haupo subiri box la kura 2015 ukikosa subiri 2020
Msiwasemee waTZ wakati.Sudan kusini Al Shabab, Nigeria Boko Haram, Malawi, zimbabwe,kote upanga na risasi hadharani.
Kwa hiyo msiwachochee wenzenu
 
dah, kweli bongo haya maisha tunaigiza, yaani leo siku imekuwa ngumu kweli , anko fred kaonewa, anyway M4C hakuna wa kuizuia
 
Wanaolalamika ni wale waliozibiwa mirija ya wizi, rushwa na uchakachuaji wa mali za umma.

Watanganyika lazima mkubali hiki ni kipindi cha mpito, JK anasafisha idara za serikali toka kwa majambazi.

Soon kila kitu kitakuwa safi.
 
Back
Top Bottom