Kila mkutano wa Kikwete anakalia kiti kile kile, Je anasafiri nacho?

Kuna iridhi hapo
Hapana, pamoja na Mkwerre kuwa na katabia ka Ushirikina kanakokwenda sambamba na kulindwa na Maruhani ya yule mzee wa Kiislam wa Magomeni aliyefariki, kiti kile ni cha Rais. Wakati nasoma kwenye chuo flani Tanzania chenye Matawi karibu 8 Chancellor huwa ana kiti kimoja tu ambapo wakati wa graduation huwa kinamfuata kila chuo atakachokwenda kutoa digrii. Hata kwa Rais ni hivyo hivyo. Hayo ni mambo ya kiitifaki tu mkuu
 
Unataka rais akalie kiti ambacho hakijulikani kama kina sumu au bomu. Hahaha chademaa
 
Hili ni suala la usalama wa kitaifa.

Kweli kabisa especially kwenye zama hizi za polonium 10 na issue za ukimwaga ugali na mimi namwaga mboga, we leave no room for chances. Lakini ukienda mbali zaidi lazima pia "kukisomea" si unajua tena waafrika tulivyo
 
wadau natazama marudio ya hotuba ya mkuu wa kaya jk na nimegundua kuwa anakalia kiti kilekile kila napomuona ktk mkutano pasipo kujali yuko pande gani.
Je, viti vinavyofanana vipo nchi nzima? Je, hirizi ya ujasiri wa kuzungumza upo ktk kiti? Anatupa taswira gani?

ukiona mtu anaanza kuchanganyikiwa na maisha ndio huku,ww kiti kinakuhusu nini?huwa anabeba kila anakokwenda kuhutubia jee mmefurahi?wekeni issue za mana sio utoto wa chuo hapa sio ud
 
Wadau natazama marudio ya hotuba ya mkuu wa kaya JK na nimegundua kuwa anakalia kiti kilekile kila napomuona ktk mkutano pasipo kujali yuko pande gani.
Je, viti vinavyofanana vipo nchi nzima? je, hirizi ya ujasiri wa kuzungumza upo ktk kiti? Anatupa taswira gani?

Bruker acha vituko, unadhani atakiuka masharti? Hali ndani ya chama ni mbaya na alikwambia wanaogopana na juzi alisisitiza hata mawaziri na manaibu wao hawaelewani wanaogopana
 
Wadau natazama marudio ya hotuba ya mkuu wa kaya JK na nimegundua kuwa anakalia kiti kilekile kila napomuona ktk mkutano pasipo kujali yuko pande gani.
Je, viti vinavyofanana vipo nchi nzima? je, hirizi ya ujasiri wa kuzungumza upo ktk kiti? Anatupa taswira gani?

Akihutubia akiwa amesimama, au kukalia kiti kingine bila kibali cha power of gods, not Almighty God (Jehova), matokeo tunayafahamu kwamba ni mzee wa mieleka.

Hapa kinachochefua zaidi ya kukalia kiti ni kitendo cha raisi anapoongea na wananchi huku amekaa kitako. Hii ama ni dharau kwa wananchi au ni dalili za uzembe wa kimwinyi wa kukosa seriousness kwenye maisha ya watu. Angalia viongozi wa wenzetu wa nchi zilizoendelea na zinazoendelea utaona hata pale wanapoongea na waandishi wa habari tu (press conferance) wanasimama. Hivi hizi tabia legelege tumezirithi kutoka wapi???
Kweli mkuu mkapa alikuwa anakaa baada kunenepeana sana na kupata matatizo ya miguu alipogombana na 1ldy, labda kikwete nae huenda anakaa kutokana na mambo yalee ya jangwani na mwanza...
 
Wadau natazama marudio ya hotuba ya mkuu wa kaya JK na nimegundua kuwa anakalia kiti kilekile kila napomuona ktk mkutano pasipo kujali yuko pande gani.
Je, viti vinavyofanana vipo nchi nzima? je, hirizi ya ujasiri wa kuzungumza upo ktk kiti? Anatupa taswira gani?

Fikra za kishikirina hazitokufikisha popote zaidi ya kukudumaza
 
to get popular sapot ndo maana ukisikia hotuba yake kwa redio hukubaliani nae ukiangalia kwa tv unashawishika kumwamini, WITCH....Vile vizee anavyovihutubiaga maana wengine wanadai anaongeaga nao ila sijawahi kuona wakiongea huwa vinalegea kabisa beter wakati anaongea uwe unakemea kwa imani ya dini yako u will be safe
Unachokiongea hakifanani na hiyo avatar yako, huyo jamaa unamdharirisha na imani zako za kichawi
 
wadau natazama marudio ya hotuba ya mkuu wa kaya jk na nimegundua kuwa anakalia kiti kilekile kila napomuona ktk mkutano pasipo kujali yuko pande gani.
Je, viti vinavyofanana vipo nchi nzima? Je, hirizi ya ujasiri wa kuzungumza upo ktk kiti? Anatupa taswira gani?

ujasiri wa kuongea nao unahitaji hirizi? Unahitaji muda sana kuelewa mambo mkuu!
 
Back
Top Bottom