Najijua
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 1,039
- 180
Wadau natazama marudio ya hotuba ya mkuu wa kaya JK na nimegundua kuwa anakalia kiti kilekile kila napomuona ktk mkutano pasipo kujali yuko pande gani.
Je, viti vinavyofanana vipo nchi nzima? je, hirizi ya ujasiri wa kuzungumza upo ktk kiti? Anatupa taswira gani?
Je, viti vinavyofanana vipo nchi nzima? je, hirizi ya ujasiri wa kuzungumza upo ktk kiti? Anatupa taswira gani?
Popote pale utakapomuona katika sherehe za kitaifa au anaposhiriki shughuli yo yote hapa nchini hukalia kiti hicho hicho au kinachofanana na kile akaliacho ikulu!
Najiuliza hivi kiti hicho ni kile kile cha ikulu au vilinunuliwa vingi na kusambazwa kila mkoa ili avitumie akiwa ziarani?! Hata bungeni majuzi akiwa na rais wa Msumbiji alikikalia!