kila Man U wakifungwa ni kosa la refa?

uporoto01

JF-Expert Member
May 23, 2008
4,700
1,415
Kwa muda mrefu sasa namsikia Sir Alex akiwashushia lawama nzito marefa kila Man U wakifungwa na mara kadha kumletea matatizo na chama cha mpira FA.Sijawahi kusikia akilalamika refa akiwabeba mara kadhaa na maamuzi yenye utata.Hivi huyu babu kaishiwa mbinu na muda wake wa kustaafu umefika?
 
Jamani eh!!

Mze fangason anazeeka sasa.... lakini pia sometimes wakishinda inakuwa pia ni kosa la refa... mnakumbuka Man City?
 
sio anazeeka vibaya huyu mzee ni mjinga sana yeye wakicheza mpaka dakika ya 98 anaona marefa hawana makosa..stupid
 
Ni kweli marefa wanafanya makosa mara zingine lakini haiwezi kuwa kila ukifungwa unalaumu marefa.

yeye kazi yake kulia kulia tu na indirect situation ambazo zimesababisha bao. Wenzake hupewa au unyimwa penalties za wazi na hawahawa marefa lakini kimya siku ya pili. Hila ye ndio anajiona 'mimi' nina bahati mbaya.
 
ni kocha yupi asiyelalamikia makosa ya marefa? kama refa anafanya kosa wote tunatakiwa kukubali bila kujali umefungwa au umeshinda. Hata hivyo kwakawaida kocha hawezi kumlalamikia refa eti kwanini ameshinda.

You should know the negative and positive position guys. Ni jambo la kawaida kuongea kitu kwa kuelekeza upande wako. Mfano mtu anaelezea kikombe cha kahawa anayoipenda atasema kikombe kipo nusu tupu ( half empty) kwasababu alitaka iwe nyingi, wakati huohuo mwingine atasema kikombe kipo nusu kujaa (half full) kwasababu hataki sasa anaona kahawa ni nyingi.

SAF hafanyi kosa kulalamika kama refa kafanya kosa, ni vibaya kama analaumu wakati refa hajafanya kosa.
 
Sio kweli Ferguson analalamika pale tu man utd inapokuwa imeshindwa. Wenzetu wanautaratibu wa ku-evaluate match ilivyokuwa kila baada ya match. Kocha anakila sababu ya kusema kile alichokiona. Kwenye carling cup Manchester Utd walishinda, lakini Ferguson alimshukia vibaya refaree kwa kumuonyesha kadi nyekundu Fabio badala ya pacha wake. Man utd wali-appeal na hatimae wakashinda. Nafikiri kwa Kocha yeyote lazima atasema Match ameiona vipi. Kuna vitu vya wazi ambavyo kama utazungumzia match ya jana kati ya man u na chelsea hata achellot mwenyewe amekiri kuwa refa hakuona. Ancelloti amekubali hili. Katika mahojiano na espn Ancelotti admitted Drogba might have been offside for Chelsea's goal but said: "It was very difficult for the linesman to see. There was a lot of concentration of players in the box." (www.soccernet.com)
 
ni kocha yupi asiyelalamikia makosa ya marefa? kama refa anafanya kosa wote tunatakiwa kukubali bila kujali umefungwa au umeshinda. Hata hivyo kwakawaida kocha hawezi kumlalamikia refa eti kwanini ameshinda.

You should know the negative and positive position guys. Ni jambo la kawaida kuongea kitu kwa kuelekeza upande wako. Mfano mtu anaelezea kikombe cha kahawa anayoipenda atasema kikombe kipo nusu tupu ( half empty) kwasababu alitaka iwe nyingi, wakati huohuo mwingine atasema kikombe kipo nusu kujaa (half full) kwasababu hataki sasa anaona kahawa ni nyingi.

SAF hafanyi kosa kulalamika kama refa kafanya kosa, ni vibaya kama analaumu wakati refa hajafanya kosa.

SAF kazidi kulialia bwana
 
SAF kazidi kulialia bwana

Ninyi ndo mmezidi kumlaumu na kuilaumu Man U nadhani ni chuki binafsi. Kila inaposhinda Man U mnadai refa kapendelea na refa anapofanya makosa yanayoiumiza Man U ninyi hamkubali au mnafumba mdomo. Huoni mko biased?
 
Na Man U ikifungwa mechi ijayo basi itakuwa nyuma ya Chelsea na Arsenal kwa point zaidi ya nane.

Mzee Ferguson anapenda kuepusha lawama zisiende kwa wachezaji wake na hilo ndilo tatizo kwani wale mabeki wake wawili Rio Ferdinand na Nemanja Vidic bado ni majeruhi.

Ni moja ya mbinu nzuri sana ya kuondoa pressure kwa wachezaji unapoelekeza kwingine lawama za juu ya kupoteza mchezo na ni mtu mmoja tu mwenye ujuzi huo mzee Sir Alex Ferguson.
 
What I see here guys mmejaa ushabiki tu, can't u comment fairly jamani? Niambieni kocha gani hajawahi kumlalamikia refa?
 
Ancelotti admitted Drogba might have been offside for Chelsea's goal but said: "It was very difficult for the linesman to see. There was a lot of concentration of players in the box
 
Ancelotti admitted Drogba might have been offside for Chelsea's goal but said: "It was very difficult for the linesman to see. There was a lot of concentration of players in the box

wastaarabu huwa wanakubali, washindani ndo wanapinga kwa ushabiki. Hata leo Liverpool wanatakiwa kukubali kuwa goli lao la pili ni la kupewa na refa kwani jamaa ka-dive wala hakukuwa na kugusana au kosa lolote la beki.
 
Utawaweza mapundit wa JF.
 
What I see here guys mmejaa ushabiki tu, can't u comment fairly jamani? Niambieni kocha gani hajawahi kumlalamikia refa?

Na we cjui unamaanisha nn hata haueleweki unataka sema makocha wate wakifungwa huwa wana walaumu marefa? Mbona kuna makocha wengi tu huwa wanaelekeza lawana kwa wachezaji waliopwaya kwenye game hata Sir alikuwa ni miongoni siku za nyuma na alikuwa anawaweka hadi bench wachezaji wakichemsha siku hizo naona ni uzee tu.
Makocha wazuri mara nyingi wanakubali kushindwa na kuahidi kujirekebisha kwenye game zinazokuja cyo kulia na marefa kila ukifungwa..Upo mzee!
 
Weka ushabiki pembeni, Drogba alikuwa offside au hakuwa offside?

Kwenye nyekundu hapo hao makocha wazuri ni kina nani?
 
I said it before, na nasema tena...siku zote IT ONLY BECOME CONTROVERSIAL when the decision turn on favor of Manutd, na when things goes upside down WHO CARES?, and when somebody yells mnasema ANALALAMIKA mno, anyways thats a sign of kuwa sisi WE ARE REAL CHAMPIONS!, we are scaring them, aren't we?...Lol!!!...
 
Back
Top Bottom