Kila kitu sisi ni hovyo hovyo

Masanilo

Platinum Member
Oct 2, 2007
22,286
4,493
Siku ya kwanza tu polisi ananiomba rushwa kisa gari halina reg number hajui nilikuwa natoka nalo bandarini......akaomba 2000

Haya nikaenda kumwona Drogba nikiwa na mzenj wangu, nikakata tiketi za VIP Tshs 50000 utaratibu mbovu mbovu hakuna geti ikabidi kuwapoza wale jamaa kwa buku mbili

Nikaenda kiwanja cha uswahili nikatoa 10,000 beer 2 Mhudumu akaioshia zake

Wapwa wamenikimbia wote hawapo reachable!!!!

Narudi kzangu Zenj

Masa
 
Kila huduma bongo lazima utoe kitu kidogo looooooooooooh this country bwana
 
kwani masanilo ulizani utakuta mabadiliko????? infakti we are from better to worse!!! welcome home/back
 
kwani masanilo ulizani utakuta mabadiliko????? infakti we are from better to worse!!! welcome home/back

Kitu Kimoja kizuri Mademu wa bongo mpoo juu sana halafu hamna gharama! Kuku 2 na Heinekens za Kichina umemaliza
 
Kitu Kimoja kizuri Mademu wa bongo mpoo juu sana halafu hamna gharama! Kuku 2 na Heinekens za Kichina umemaliza

Halafu na wewe jana si tukakubaliana tuangamizane na bia? Ikawaje sasa?
 
Kitu Kimoja kizuri Mademu wa bongo mpoo juu sana halafu hamna gharama! Kuku 2 na Heinekens za Kichina umemaliza

hahaaaa lol!! mimi hunipati mpaka unipe moja ya yale matotokaa yenye chata la mkuu wa kaya!!!!!!!! 'INVISIBLE'
 
Kila huduma bongo lazima utoe kitu kidogo looooooooooooh this country bwana

cousin, hiyo ndiyo bongo kila kitu lazima kiwe na ndogo yake; ukioa basi uwe na nyumba ndogo... ukipewa ile kitu basi unaomba na ile ndogo yake ...yaani ni etc. etc tu mtindo mmoja
 
Unrechable wewe acha uhuni wa Nguli na wake za watu na kucha
Nilipigwa ban na vibarua vya watu! Haiwezekani tusiumizane kwa bia kwa siku mbili hizi! Weekend lazima tukulishe kokoto na heinekeni za kichina pale kwa eliza.
 
nilipigwa ban na vibarua vya watu! Haiwezekani tusiumizane kwa bia kwa siku mbili hizi! Weekend lazima tukulishe kokoto na heinekeni za kichina pale kwa eliza.

na nyumba ngogo muuagizie kama feaweli
 
Nilipigwa ban na vibarua vya watu! Haiwezekani tusiumizane kwa bia kwa siku mbili hizi! Weekend lazima tukulishe kokoto na heinekeni za kichina pale kwa eliza.

Nije peke yangu ama na Mzenj? teh teh teh teh
 
siku ya kwanza tu polisi ananiomba rushwa kisa gari halina reg number hajui nilikuwa natoka nalo bandarini......akaomba 2000

haya nikaenda kumwona drogba nikiwa na mzenj wangu, nikakata tiketi za vip tshs 50000 utaratibu mbovu mbovu hakuna geti ikabidi kuwapoza wale jamaa kwa buku mbili

nikaenda kiwanja cha uswahili nikatoa 10,000 beer 2 mhudumu akaioshia zake

wapwa wamenikimbia wote hawapo reachable!!!!

Narudi kzangu zenj

masa
halafu na wewe ukiondoka kimya kimya hatutakuelewa
 
Nije peke yangu ama na Mzenj? teh teh teh teh
UJE MWENYEWE BWANA!
kuna totooz nzuri ambazo zitakufanya uupitie upya MKATABA WAKO NA MZENJI!......ai miin ni vipimo vizuri sana tunavyotumia sisi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom