aaahhh!!! wpi!!!!
sasa hapa akina Kongosho sijui watasema nini hapa!!!
Vijana fikirieni mambo ya maana kabla umri haujawapita saana mkaja kujuta baadaye ikiwa too late. Hii biashara ya kushinda kutwa kuchunguza na kupost makalio ya wanawake humu haitawalipa kabisa na badala yake mtakuwa mnatumia quality time yenu kwa mambo yanayofisha uwezo wenu wa kufikiri masuala ya maana na hivyo kudunisha maendeleo ya nchi yetu hapo baadaye.
Generation hiyo ya originality imekufa, thats why plan B ni mchina
Hii photoshop kabisa.
Hawa Bush Men ni Wanaume tu ndiyo wanaacha Masaburi nje.
Wanawake wanaficha masaburi. Ukiangalia miguu ni ya dume kabisa. Pia jamaa si warefu kivyo.
Pia check, Saburi linavyongaa na safi ukilinganisha na hao wengine.
Labda kama ni SHE-MALE.