Kila jobless ana ndoto za kuwa Movie Superstar

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Feb 18, 2010
4,066
4,085
Jamani hapa mtaani kwetu kila jobless anataka acheze sinema ili aweze kutoka.
Amazing, hivi kweli mtaji huu tutapata sinema bora?
 
Mambo ma4 yatawakwamisha,ULEVI,UMALAYA,SIFA, na UPEO MDOGO...wanaandamwa na moja ya haya mambo!
 
Na bado, akienda kuigiza anakunja sura sauti juu kana kwamba wanadamu wooote katika kuongea tunaongea kwa sauti juu, wacha watu waigize!
 
Huku nikutuongezea wakaa uchi,malaya na wauza sura kwenye magazeti pendwa.waache future za kijinga.
 
Hata "The great (Kanumba)" alianza hivyo hivyo kupitia kaole,
Leo hii ukijaribu kuhoji uwezo wa kipaji cha Kanumba na kazi zake unaambiwa unawivu mara wabongo hatujikubali.
Bado tunaulimbukeni mwingi sana wabongo linapokuja suala la sanaa kwanzia Music, Movie, Sanaa za majukwaani... labda big up kwa wachongaji na wahunzi.
 
Nilikua naangalia list ya muvi staz wa Nigeria wengi ni wahitimu wa vyuo vikuu sijui kwa bongo hata wa5 kama wanafika..upeo ni muhimu sana hasa unapochukulia ile kama ajira.
 
Back
Top Bottom