Upupu mtupu, hamna lolote zaidi ya majungu tu, mlikatazwa kufanya maandamano? Si fanyeni, mradi msivunje sheria, mkivunja sheria au kuharibu amani mnakula mkong'oto kama wa Arusha au zaidi.
Upupu mtupu, hamna lolote zaidi ya majungu tu, mlikatazwa kufanya maandamano? Si fanyeni, mradi msivunje sheria, mkivunja sheria au kuharibu amani mnakula mkong'oto kama wa Arusha au zaidi.
kizazi cha waoga kudai haki zao, wanaopenda hotoba nzuri bila vitendo na wanaodhani kukandamizwa na kunyimwa uhuru wao sasa kinamalizika! kizazi kinacho kuja sasa ni hatari kwa viongozi wasanii. KAENI CHONJO HILI NI GHARIKA. jamani watanzania tusikubali kunyanyasika kiasi hiki kwenye nchi yetu ya AMANI. hivi kweli kama ni mmoja wa familia yako ndo kungua hivi sidhani kama uta-support uongozi ulioko madarakani hata siku moja, wako komaslahi na sio kutetea wananchi. TUAMKE TUJIKOMBOE NA TUKOMBOE RASILIMALI ZETU
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.