Kikwete's Pledges Realistic, Says Nnauye

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
Patty Magubira
29 June 2011

Dar es Salaam - The Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ideology and Publicity secretary, Mr Nape Nnauye, yesterday allayed Tanzanians' fear of pledges made by President Jakaya Kikwete and his party's manifesto.

Mr Nnauye said all pledges made by the President during his campaign rallies in last year's General Election would be implemented although some might not be a 100 per cent accomplished when his tenure elapses in 2015.


He said during his tour of Mwananchi Communications Limited (MCL) at Tabata Relini, in Dar es Salaam that pledges stipulated in the CCM manifesto and those made by the party's former presidential candidate were realistic, as experts were consulted beforehand

The ruling party was closely following the same and had directed the minister for Finance and Economic Affairs, Mr Mustafa Mkulo, to ensure he incorporated them in the government budget, he said, vowing that Dar es Salaam would be furnished with at least one flyover.

Other pledges made by President Kikwete include construction of the central railway line, teachers' houses countrywide, three district hospitals in Dar es Salaam and tarring Iringa-Dodoma-Babati Road.

Others were connecting Kigoma Region to the national power grid, furnishing Tabora with clean and safe water as well as securing a reliable market of cashew nuts for farmers in Lindi and Mtwara. Mr Nnauye, who paid a courtesy visit at MCL to farmiliarise himself with the country's leading media house, also used the opportunity to clarify CCM's ongoing 'shedding the scale' campaign, saying it comprised a cocktail of reforms within the party.

He refuted widespread reports that CCM had given its suspected corrupt cadres a 90-day ultimatum to deregister themselves, saying the party had actually said their fate would be determined by the next National Executive Committee (Nec) meeting tentatively slated for next month.

The MCL Group managing editor, Mr Theophil Makunga, said the first visit of an Ideology and Publicity secretary to the media house opened a new chapter between politicians and the media, but cautioned that CCM cadres ought to become more proactive than defensive. He observed that most of the ruling party's cadres were withholding information, leading to their rivals from the opposition camp hijacking and using it in their favour.
 
It seems Nape Nnauye is more powerful within CCM than the Minister of Finance as he give him directives...

Wow he's all over as a Vice President (Mtekelezaji wa Rais)
 
huyu NAPE anajitahidi sana kutudanganya enh CCM pelekeni uongo wenu huko kwa watoto, miaka yote hamsini ya uhuru mmeshindwa kupeleka umeme wa gridi ya taifa LINDI MTWARA NA RUVUMA!! hivi umbali wa kutoka iringa na ruvuma ki ccm ni mbali sana kuliko kutoka iringa mpaka mwanza arusha na kilimanjaro! hata hiyo mikoa yote iliyounganishwa na gridi ya taifa umeme wenyewe hakuna ni mgao wa GIZA TUU ccm lini mtajiona mlivyo wabovu. nakumbuka miaka ya mwanzo ya themanini mshua alikuwa kamanda wa polisi pale sumbawanga, alishawahi msweka lupango meneja wa Tanesco wakati ule kisa kukata kata umeme bila sababu. tulishangaa sana those days lkn kwa sasa natambua karaha yake, kuna sababu ya kuwasweka upango wote hawa wanaohadaa wananchi kwa uongo. sioni ahadi yoyote iliyotekelezwa zaidi ya maneno meeengi majukwaani ccm kulindana tuuu si bungeni si uraiani na kweli sijaona lolote Nape la kutudanganyia.
 
Even if they will build fly over. CCM imeshachokwa. people have reached a point of no return.
 
Flyover to nowhere, mmh. Their problem is they dont know the problems and their causes. So are their followers.
 
These were not kikwete's pledges as nape wants us to beleive, these were ccm pledges so when time is up we will hold ccm accountable since jk will be long gone. The plegdes were given by jk on behalf of ccm and not otherwise.
 
Wakurya wana methali isemayo kuwa"MOTO HUZAA MAJIVU."

Ninapowalinganisha Moses Nnauye na Nape Nnauye kisiasa, ni kama kulinganisha moto na majivu!!
 
Sioni ni kwa vipi zitatekelezwa labda enzi za (Nnauye Jr of Jr of Jr) sijui utakuwa mwaka gani huo.
  1. Kujenga reli mpya kutoka Dar es Salaam mpaka mikoa ya Kanda ya ziwa - Nzega, Tabora
  2. Mkoa wa Tanga kuwa Jiji la Viwanda - Tanga mjini
  3. Tabora kutumia maji ya Ziwa Victoria - Igunga
  4. Kulipa madeni ya chama cha Ushirika mkoa wa Shinyanga (SHIRECU) - Shinyanga
  5. Kumaliza migogoro ya Ardhi nchini - Dodoma
  6. Wakulima kuacha kutumia jembe la mkono - Dodoma mjini
  7. Kuwapatia trekta wakulima - Kata ya Mrijo, Dodoma
  8. Wananchi kutoondolewa kwenye Ranchi ya Misenyi - Kagera
  9. Kujenga Uwanja wa Ndege Misenyi - Kagera
  10. Kupanua Uwanja wa Ndege Bukoba - Bukoba Mjini
  11. Kujenga uwanja wa ndege mkubwa Kigoma - Kigoma Mjini
  12. Mtukula kupatiwa umeme kutoka Uganda - Kagera
  13. Mikoa ya Kagera, Kigoma, Lindi, Rukwa na Ruvuma kuunganishwa katika gridi ya taifa ya umeme - Kagera
  14. Kuimarisha Takukuru kwa miaka mitatu - Kagera
  15. Hukumu kwa waliopatikana na hati ya kuua albino - Mbeya
  16. Kununua meli kubwa kuliko MV Bukoba - Kagera
  17. Kuanzisha benki ndogondogo kwa ajili ya wajasiriamali
  18. Serikali kuvisaidia vyama vya ushirika - Mwanza
  19. Kuimarisha usalama Ziwa Victoria na Ziwa Tanganyika kwa kupeleka kikosi maalum chenye vifaa kupambana na wahalifu - Mwanza
  20. Wilaya ya Geita kuwa hadhi ya mkoa Januari mwakani - Geita
  21. Kulinda muungano kwa nguvu zote - Pemba
  22. Kuwajengea nyumba waathirika wa mafuriko Kilosa - Morogoro
  23. Kununua meli mpya kubwa Ziwa Nyasa - Mbeya mjini
  24. Kujenga bandari Kasanga – Rukwa
  25. Kumaliza tatizo la walimu miaka mitano ijayo - Songea
  26. Kufufua mgodi wa makaa ya mawe Kiwira - Mbeya
  27. Kuzuia hatari ya kisiwa cha Pangani kuzama - Tanga
  28. Kununua bajaji 400 kwa ajili ya kubeba wajawazito hasa vijijini - Iringa
  29. Kujenga barabara yenye kiwango cha lami kutoka Same mpaka Kisiwani – Kihurio na kuiunganisha na barabara kuu ya Moshi - Dar es salaam - Same mkoani Kilimanjaro
  30. Kumaliza tatizo la maji katika wilaya ya Same - Same Mjini
  31. Kuboresha barabara za Igunga - Tabora
  32. Kusambaza walimu 16,000 katika shule za sekondari zenye upungufu makubwa wa walimu - Kisesa Magu
  33. Kununua vyandarua viwili kwa kila kaya - Mbeya Mjini
  34. Kuzipandisha hadhi hospitali maalumu saba nchini kuwa za rufaa ili kuipunguzia mzigo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MHN) - Hydom Manyara
  35. Kulinda amani nchini kwa kuzuia chokochoko za kidini, kikabila na kisiasa - Musoma
  36. Kulinda haki za walemavu - Makete
  37. Kujenga baabara ya Njombe - Makete kwa kiwango cha lami,urefu wa kilomita 109 - Iringa mjini
  38. Kujenga barabara Musoma – Mto wa Mbu Arusha - Arusha
  39. Kuanzisha jimbo la Ulyankulu- Shinyanga Mjini
  40. Kujenga barabara ya lami Manyoni-Kigoma – Kaliua,Tabora
  41. Kukarabati barabara ya Arusha Moshi - Arusha Mjini
  42. Kuboresha barabara ya Handeni, Kondoa, mpaka Singida - Dodoma
  43. Kuwafidia wanakijiji ng'ombe waliopotea wakati wa ukame mwaka 2009 - Longido
  44. Vijiji vyote vilivyoko kilomita 15 kutoka kwenye bomba kuu la mradi mkuu wa maji wa Ziwa Victoria - Shinyanga-Kahama kuunganishiwa maji - Shinyanga
  45. Tatizo la umeme kufikia kikomo Novemba mwaka huu mkoani Arusha – Arusha mjini
  46. Kukopesha wavuvi zana za kilimo - Busekera, Wilaya ya Musoma
  47. Kuwapatia maji wakazi wa Wilaya ya Longido - Longido
  48. Kujenga barabara ya lami kupitia pembezoni mwa Hifadhi ya Taifa ya Seregenti – Ngorongoro
  49. Utekelezaji wa mpango wa maendeleo ya kilimo kuwasaidia wafugaji kuweza kupata na kutunza mifugo yao vizuri - Mbulu mkoani Manyara
  50. Kusambaza maji nchi nzima - Babati vijijini
  51. Kusambaza umeme, utoaji wa huduma za afya, na uboreshaji wa kilimo cha umwagiliaji na utoaji ruzuku kwa wakulima. mwaka 2010-2015 - Babati vijijini
  52. Kuongeza mara tatu idadi ya wananchi wanaonufaika na ruzuku ya pembejeo za kilimo kwa mfumo wa vocha - Iringa
  53. Kuhakikisha Isimani inapata maji ya uhakika - Iringa
  54. Kuiwekea lami barabara inayokwenda katika Hifadhi ya Taifa ya Ruaha, ambayo ndiyo hifadhi kubwa kuliko zote Tanzania - Iringa
  55. Kulinda usalama wa wananchi kwa ujumla ili kudumisha amani na sifa ya nchi -Ifunda
  56. Kutokomeza malaria 2015 - Bunda, mkoa wa Mara
  57. Kuwapa wanawake nafasi zaidi - Kilolo, Iringa
  58. Ahadi kuisadia Zanzibar kuendeleza miradi mbalimbali ya kijamii - Kibandamaiti Mjini Zanzibar
  59. Kuipandisha hadhi hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar kuwa ya rufaa - Kibandamaiti mjini Zanzibar
  60. Kuisaidia Zanzibar kila panapohitajika msaada - Kibandamaiti
  61. Serikali kujenga upya bandari ya Mbambabay - Ruvuma
  62. Ununuzi wa Meli mpya yenye uwezo wa kubeba tani 400 - Mbambabay Ruvuma
  63. kufufua chama kikuu cha ushirika cha wakulima wa Mbinga (MBICU) – Ruvuma
  64. Ahadi Rais wa Marekani Barack Obama kuimwagia misaada Tanzania – Ruvuma
  65. Ahadi hakutakuwa na umwagaji wa damu baada ya uchaguzi-Dar es Salaam
  66. Mtwara kuwa mji wa Viwanda – Mtwara
  67. Ahadi ujenzi wa kwanda cha dawa ya kuua viluilui vya mbu - Kibaha
  68. Hospitali ya Tumbi kuwa ya mkoa - Kibaha
  69. Halmashauri ya manispaa ya Kibaha kutenga eneo maalumu la viwanda - Kibaha
 
Sioni ni kwa vipi zitatekelezwa labda enzi za (Nnauye Jr of Jr of Jr) sijui utakuwa mwaka gani huo.

70. Kigoma kuwa Dubai!
71.Miasha Bora kwa kila Mtanzania
72.Hali zaidi,kasi zaidi,nguvu zaidiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!
 
Sioni ni kwa vipi zitatekelezwa labda enzi za (Nnauye Jr of Jr of Jr) sijui utakuwa mwaka gani huo.

70. Kigoma kuwa kama Dubai
71.Maisha bora kwa kila Mtanzania
72.kushughulikia mafisadi kwa Nguvu zote
73.Nguvu zaidi,kasi zaidi na hali pia zaidi.
 
Patty Magubira
29 June 2011

The Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ideology and Publicity
Their ideology - kudanganya danganya ali mradi chama kiwe-publicised.
Hiyo ndiyo kazi ya Nape.
Ebu ona anavyodanganya kuhusu siku 90 za mafisadi!
 
Back
Top Bottom