Kikwete's 'Maisha Bora kwa Kila Mtanzania'

Huwezi amini watu na akili zao wanavaa njano na kuanza kuruka ruka huku mwana nyamala wagonjwa wanalala chini!
 
Wakuu Mungwana kajitahidi maisha bora kwa kila mtanzania yamewezekana ndani ya miaka mitano tu kila mtanzania kajionea mwenye maisha bora.Tukimpatia tena miaka mitano mingine Kigoma na Bukoba watapata uwanja wa kimataifa wa ndege,Shinyanga chuo kikuu.

 
mpeni kura za ndiyo mtayaona hayo maisha bora kwa kila rafiki wa kikwete.............ikulu siku hizi i=ni mradi wa kifamilia kila mwanafamilia anahakikisha nafais hiyo haipotei.......zamani ilikuwa ikulu ni mradi wa wananchi wote na wote waliungana kumchagua rais wa kuwaletea maendeleo lakini siku hiizi ni salma,huku rizi1.....sijui JK angekuwa hai angesemaje
 
Mwaka 2005 asilimia kubwa ya magari yalikuwa yakipambwa na wheelcover zilizosomeka "Maisha Bora Kwa Kila Mtanzania".

Mbona sizioni tena?? Kulikoni?

Wenye mashangingi mutuambie!
 
Mwaka 2005 asilimia kubwa ya magari yalikuwa yakipambwa na wheelcover zilizosomeka "Maisha Bora Kwa Kila Mtanzania".

Mbona sizioni tena?? Kulikoni?

Wenye mashangingi mutuambie![/QUOTE]

najibu kwa kuwa mpenzi wangu hapa kitaa wanamuita shangingi.
kwani hizi ni kampeni za mwaka 2005?
 
Hizo wheel cover hazina nafasi tena kwa sababu watanzania hawayaoni hayo maisha bora kwa kila mtanzania. Kwa sasa tunaweka picha ya jk tu, inatosha.
 
Mwaka 2005 asilimia kubwa ya magari yalikuwa yakipambwa na wheelcover zilizosomeka "Maisha Bora Kwa Kila Mtanzania".

Mbona sizioni tena?? Kulikoni?

Wenye mashangingi mutuambie!
Alikuwa akiwategemea watu wa marekani walete hayo maisha bora, ndiyo maana kila siku alikuwa safarini,labda hawakumpa.
 
Hizo makamba ndo aliziita ajila zisizolasimi cha ajabu nini acha watu wapige kazi bwana
 
Hii live bana, ninyi mnaangalia picha? ukisafiri toka dodoma kuelekea mikoa ya singida, tabora na mwanza utaona mambo usowah kuyafikiria, vibibi vizee mno, watoto wadogo wa umri wa kuwa shule, vipo barabarani vinaomba chochote toka katiika magari yanyopita barabarani. Inatia huruma, utachogundua ni kua wala hakuna mtu(serikali) haifikirii na kwanza haijui juu ya hali hiyo.
 
wakuu,

baada ya kuangalia picha hizi nimejikuta nalazimika kuwashirikisha link ili mjionee hali halisi ya maisha ya watanzania wenzetu:
b714qt.jpg


03.jpg

the two photos above show an old woman called loi, in front of and in her house in ibwaga village. She has lost her sight with age, and lives with her daughter who is deaf. They normally depend on farming for their livelihood but last year their farm was among many others that were destroyed by the december floods in kongwa district. At the time photograph was taken they had stock of only ten kilos of ”uwere” left.

04.jpg



zaidi endelea hapa:


pres. Kikwete’s “maisha bora kwa kila mtanzania” « jamiiforums|tmf blogs

hasa ukizingatia kuwa ccm inalipia kila bango kubwa shilingi milioni 3 kwa siku na madogo milioni moja na nusu kwa siku
 
Wa TZ tuache unafiki! Sisi hao hao ndo tunaoshabikia misafara ya CCM na kura zetu tutwapa tena. Kwani wewe ni kipi kilichokutuma uamini kuwa maisha bora kwa kila M-TZ yanawezekana??? JK Msanii tu mwoneni hata anavyoonge na wananchi kwenye kampeni zake Usanii mtupu kwa vile keshaona Mi-TZ mipunguani ni mijitu ya kudanganya tu!!!! sasa hivi kaja na kauli mbiu mpya Ari zaidi, Kasi zaidi na Nguvu zaidi ya kuhamisha raslimali zetu Mpo hapo?????????

Enyi Wa-TZ wapumbavu ninyi nani aliyewaloga??? AMKENI KUMEKUCHA!!!!!!!!!

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!!!!

MTAKOMA UBISHI!!!

HATA WASOMI WENU CHUO KIKUU WANAMUUNGA MKONO JK SIJUI KWA LIPI HASA????
 
Kuna watu hawajui kuwa a misrable life they are living in is due to the gvt on the throne
 
Haya maisha na mimi nimeyaishi, hapo usiwaambie kitu kuhusu CCM. Kwa hiyo kama kuna mtu anaona kwamba maisha hayo siyo bora ni wewe na mimi, maana wao ukikutana nao wanalalamika, ukija uchaguzi, ni wao na CCM.
Umasikini wa watanzania ni mtaji mkubwa sana wa CCM. Na wataendelea kuwafanya watanzania wawe masikini hivyo hivyo ili waendelee kushinda.

Hatuna sababu ya kupiga kelele kwa watu ambao umasikini wao na ujinga wao ni furaha kwa CCM! Let them suffer because they're fools!
 
Back
Top Bottom