Kikwete's 'Maisha Bora kwa Kila Mtanzania'

Wewe ndo una matatizo. Tuliambiwa tena sote ni mashahidi kila Bango liliandikwa-Maisha Bora kwa KILA Mtanzania, miaka mitano baadae ikaandikwa-Ari Zaidi, Kasi Zaidi. Wakati ule tuliambiwa tuichague CCM kwa kuwa tutapata MAISHA BORA tena KWA KILA MTANZANIA. Au ilikuwa ni sentensi tata ya kulaghai wananchi? Ila kama Slogan ile ilikuwa ina maana halisi kama ilivyosema, basi ulaghai ulitumika!
Acha kuwa bendera fata upepo wewe utaolewa!! umehongwa nini na baba zako hao wa Ukawa?
 
Mwaka huu hatuangalii makomeo wala magrill ... Tupa kulee... Vizuizi vyote vya Maendeleo tutaving'oa Mwaka huu ... CCM ni zaidi ya Laana kwa Watanzania ... Pigia UKAWA kwa maslahi mapana ya Watanzania hata wale wasiojitambua ,..
 
A
Sasa wewe je mbona maisha yako hayakuboreka wakati wewe ni swaiba wake JK. Pia ulikuwa ukijikomba kwake kila mara ukiita uncle, uncle. Subiri Mzee Magufuli akuongoze ndipo akili itakukaa sawa na uvivu wako

Kwani wewe una maisha mazuri mbona unamsema mwenzako? hahaha hapo unaishi kutegemea fedha za LOWASSA asingekwepo ungepiga mihayo tu
 
kawaida tu, kijijini kwetu hay mambo nayashuhudia kwa macho yangu bora nyie mnaolizwa kwa picha.

huyo bwana mdogo alobeba kuni kanikumbusha tu machungu nlopitia.

kwangu hakuna jipya na nakubaliana na NN

Kaka pole sana,huu umaskini ni wakutisha na uminikumbusha kwamba ni wakati tunamuhitaji kiongozi wakutuvusha.I was choked and about to cry after passing through those picture which reflect the whole sitution in all over Tanzania.God we don't like this kind of poverty please give us a leader who will transform this countries which is blessed with a lot of resources.
 
A
Sasa wewe je mbona maisha yako hayakuboreka wakati wewe ni swaiba wake JK. Pia ulikuwa ukijikomba kwake kila mara ukiita uncle, uncle. Subiri Mzee Magufuli akuongoze ndipo akili itakukaa sawa na uvivu wako

Kweli akamuongozee familia yake.
 
Sasa hili jamvi mbona topic za UKAWA HALI TETE,na ile ya MADINI MAKUBWA MAKUBWA TUTAWAPA WAKUBWA ZIMEONDOLEWA KULIKONI,au ndo mahaba kwa mgombea wa Ukawa?tuweni makini isije kuwa aibu huko mbele ya safari
 
Mbona umeng'ang'ana kutaja maovu yake mbona mazuri hujayataja ili nkuone mzima wa akili?? maana hauko objective, najua wivu umekujaa wewe ulitamani JK awe baba yako ila ndo basi tena haiwezekani ndugu, kajipange tena sio kwa huo uozo wako ulouweka hapo.

sasa JK aliahidi kufanya mabovu au mazuri????
 
ACHA KUDHALILISHA WATU WEWE, UMESHAHONGWA WEWE NA HAO BABA ZAKO WA UKAWA, Hata useme vipi KURA za Watanzania hamzipati maana IKULU sio sehemu ya kuigizia ama kufanya majaribio.

Unajua maana ya watanzania?? Kwa uongo huu mlio wadanganya watanzania 2010 mnadhani kura zetu mtazipata mwaka huu, uko timamu kichwani wewe??
 
Back
Top Bottom