Kikwete yupo Saudi Arabia

wakuu wa itifaki kukunja mikono kama alivofanya JK na mwenyeji wake maana yake nn?

Sijui kuhusu itifaki, na sifikiri hii inatokana na itifaki,

Lakini inaonyesha JK ama bado ana mabaki ya uaskari, au anataka kuonyesha picha ya ukakamavu.
 
wakuu wa itifaki kukunja mikono kama alivofanya JK na mwenyeji wake maana yake nn?

Nadhani ni pasture tu za mazoe, labda ujeshi ama za kuzaliwa! kama kila kitu ni itifaki hata ubinafisi wako kujitokeza ni issue, basi uraisi ni kazi kweli kweli!
 
sio kila binadamu ni mtu bali unaweza kuwa hata sungura.unafikiria na unacho andika?
 
airforce 1, ndege ya rais wetu inaitwaje

kweli kulikuwa kuna mambo mengi ya kuongea mpaka waziri wa mambo ya ndani alikuwepo kwenye safari

ivi rais anachagua mwenyewe mawaziri wa kwenda nao....
au anachukua mawaziri kutokana na kinachoenda kuongelewa.....

bila kuwataja kuna mawaziri inaonekana hawaambatani na muungwana nje hata siku moja
 
Jamani hivi Muungwana alikuwa na mkewe mama Salama? ama kama kwaida alitanguliza mzigo huko?
 
Makubwa kwani hiyo ndoa ya muungwana ni ceremonial tu? Maana JK mara nyingi anakuwa peke yake hata ziara za ndani ya nchi! Ama ndo kujinafasi?
Kumbuka pia kuwa FL pia ni ofisi kama the presidency... rejea thread yangu ya FL.
FL wetu inaelekea anawajibika kisawasawa!
 
unnamedjk.jpg
 
Back
Top Bottom