Kikwete wewe ndio maskini

hakuna lolote anatuletea mabo ya ajaabu kumbe hata za tandika may be anazimind wabongo hata chupi tukipewa ulaya ni ufahari just like pilipili inavowasha
conquest
 
Ni bora mwenzake Sumaye baada ya kujiona kilaza na kadiploma kake ka kilimo akaamua kwenda kuongeza elimu kule Havard na atakuja kugombea uraisi siku za usoni
 
Back
Top Bottom