Kikwete wewe ndio maskini

Nov 11, 2008
782
38
Leo nimeona kwenye TV Rais wetu akipokea JEZI ya RONALDO ambayo ni zawadi toka Real Madrid kwa kutambua nini sijui wanajua wenyewe...........

Katika speech yake alishukuru eti ANASHUKURU SANA KWA ZAWADI HIYO na pia kuitambua Tanzania JAPOKUWA NI MASIKINI.......

Huyu baba vipi nilitamani nimzabe kibao kama ni umaskikini basi ni umasikini wa FIKRA alionao yeye na haoi wanaomzunguka, yaani Tanzania na na RASILIMALI zote tulizokuwa nazo, ARDHI, MADINI, NK tuna umasikini gani kama sio ujinga wa viongozi wetu kutajua jinsi ya kuzivuna na kufaidika na TAIFA nazo????
 
Watanzania tumekalia utajiri halafu tunawalisha watoto wetu sumu kwa kuwaambia mawazo potofu kuwa sisi ni masikini.
 
Watanzania tumekalia utajiri halafu tunawalisha watoto wetu sumu kwa kuwaambia mawazo potofu kuwa sisi ni masikini.

We acha tu, alafu sijui hili neneo analipendea nini, wewe umepewa zawadi kwa mchango wako kwenye soka, unaingiza masuala ya kujiita umaskini, sijui ilikuwa ni GEA ya kuomba misaada?
 
He is what he eat! ......sasa sijui anakulaga nini huyu kiranja wetu.
 
Kwa kweli viongozi wetu inabidi wabadili mtazao wao binafsi juu ya nchi yetu, Nashindwa kuelewa kwanini wanapokwenda nchi za nje wanachotangulia kueleza ni umaskini wetu na sio rasilimali zetu. Wakati fulani Kikwete alikutana na bilionea kule USA, badala ya kumweleza bidhaa tulizonazo (tanzanite n.k) ili tuweze kufanya nae biashara badala yake alimweleza kwamba sisi tunaangamizwa na maralia hivyo anahitaji msaada wake, yule bilionea alimuliza kwamba tuko watu wangapi tanzania na akaahidi kununua chandarua kwa kila Mtanzania na hili Kikwete alisema amefanikiwa katika safari yake. AIBU TUPU..!!!

Kwa hiyo watanzania wote kwa ujumla hebu tubadili mtazamo wetu na kuona fursa tulizonazo ndani ya nchi yetu. Wako watanzania wengi wanapopata nafasi ya kukutana tu na MZUNGU utaona anaelekeza mawazo ya kutaka kupata MSAADA kwanini tuishi kwa kuonewa huruma halafu tusaidiwe. "LET US CHANGE OUR MIND and THINK RICHNESS and NOT POVERT"
 
Leo nimeona kwenye TV Rais wetu akipokea JEZI ya RONALDO ambayo ni zawadi toka Real Madrid kwa kutambua nini sijui wanajua wenyewe...........

Katika speech yake alishukuru eti ANASHUKURU SANA KWA ZAWADI HIYO na pia kuitambua Tanzania JAPOKUWA NI MASIKINI.......

Huyu baba vipi nilitamani nimzabe kibao kama ni umaskikini basi ni umasikini wa FIKRA alionao yeye na haoi wanaomzunguka, yaani Tanzania na na RASILIMALI zote tulizokuwa nazo, ARDHI, MADINI, NK tuna umasikini gani kama sio ujinga wa viongozi wetu kutajua jinsi ya kuzivuna na kufaidika na TAIFA nazo????

Huyu mheshimiwa hajui nchi yake ndo mana anasema hivyo
 
jamani kama kila uchaguzi anshinda kwa kishindo akiwa anasema hivyohivyo, mnategemea nini?............. ni kweli tu masikini ........ hasa sisis tunaopiga kura ndio tumevia umasikini akilini mwetu.......................
 
Leo nimeona kwenye TV Rais wetu akipokea JEZI ya RONALDO ambayo ni zawadi toka Real Madrid kwa kutambua nini sijui wanajua wenyewe...........

Katika speech yake alishukuru eti ANASHUKURU SANA KWA ZAWADI HIYO na pia kuitambua Tanzania JAPOKUWA NI MASIKINI.......

Huyu baba vipi nilitamani nimzabe kibao kama ni umaskikini basi ni umasikini wa FIKRA alionao yeye na haoi wanaomzunguka, yaani Tanzania na na RASILIMALI zote tulizokuwa nazo, ARDHI, MADINI, NK tuna umasikini gani kama sio ujinga wa viongozi wetu kutajua jinsi ya kuzivuna na kufaidika na TAIFA nazo????

Mimi niseme wazi ni mshabiki mkubwa sana wa JK. Lakini nilichokiona kwenye TV jana, natamani Ikulu ikanushe, waseme ni picha na habari feki.

My God!
 
Muacheni tu mh. Rais kwa sasa yupo na mawazo mengi juu ya nini kitampata kipindi cha kampeni kitakapoanza na sana akifikiria jinsi alivyo anguka Jangwani na mwanza 2005 basi anakuwa amepoteza kabisa uwezo wa kufikiria na kutoa maneno yakueleweka mbele ya jamii yake...
 
Hivi watanzania tumefikia hatua hii kweli? Mkuu wa nchi kupewa jezi ya C. Ronaldo anashukuru kwa kiwango hiki cha kuliita taifa hili masikini?

Hii inanithibitishia kwa nini Nyerere hakumtaka JK awe Rais wa nchi yetu!!

RIP Mwl. Julius K. Nyerere!
 
Huyu mheshimiwa hajui nchi yake ndo mana anasema hivyo

anatoka mkoa na ni kabila gani huyu? unajua kila kabila lina ka-laana kake!
Wachaga-ugonjwa wao ni kupenda pesa kupita kiasi, wahaya enzi zile..., wafipa, tanga, kigoma --uchawi, wahehe-kujiua, wakurya ..sisemi zisije katwa panga etc etc.

Na huyu ka laana ka kwao ni nini? mimi sijui hata kabila lake. chukulia ingekuwa ni kiranja serious wasingethubutu kuleta hicho ki-Tshirt

Mnisamehe Bure if i have offeded any one
 
Leo nimeona kwenye TV Rais wetu akipokea JEZI ya RONALDO ambayo ni zawadi toka Real Madrid kwa kutambua nini sijui wanajua wenyewe...........

Katika speech yake alishukuru eti ANASHUKURU SANA KWA ZAWADI HIYO na pia kuitambua Tanzania JAPOKUWA NI MASIKINI.......

Huyu baba vipi nilitamani nimzabe kibao kama ni umaskikini basi ni umasikini wa FIKRA alionao yeye na haoi wanaomzunguka, yaani Tanzania na na RASILIMALI zote tulizokuwa nazo, ARDHI, MADINI, NK tuna umasikini gani kama sio ujinga wa viongozi wetu kutajua jinsi ya kuzivuna na kufaidika na TAIFA nazo????
Ebo! Sasa ulitaka aoe wanaomzunguka kwa nini bwn. SI wanaomzunguka ni wasaidizi wake? Atawaoaje bila kuharibu kazi?

Lakini kwa kweli jamani mzee wetu ni wa ajabu sana. Jezi ya Ronaldo ndiyo inafanyiwa sherehe wakati zimejaa kwenye mitumba? Mimi nilidhani ni ze comedi origino, kumbe ilikuwa kweli? Looooo! Wanamchezea hawa wasaidizi wake, labda ndio kawaoa wanamchezea shere. Majuzi tu amefungua hoteli saa nne, lakini hoteli hiyo ikavunnjwa hata bila kupita wiki. Mara tena anajiandaa kumkabidhi mtu wa halmashauri fulani gari ya wagonjwa, wasaidizi wanaleta mashoga wao kutoka kwingine. Yaani ze komedi kabisa! Angalau siku ile alionyesha kwamba anakumbuka, ya jana ilikuwa kali sana. Ngoja nami nifue kasuruali kangu nikakabidhi mbele ya kamera na nitaandika risala fupi nikimwambia kuwa naipenda Tanzania.
 
leo nimeona kwenye tv rais wetu akipokea jezi ya ronaldo ambayo ni zawadi toka real madrid kwa kutambua nini sijui wanajua wenyewe...........

katika speech yake alishukuru eti anashukuru sana kwa zawadi hiyo na pia kuitambua tanzania japokuwa ni masikini.......

huyu baba vipi nilitamani nimzabe kibao kama ni umaskikini basi ni umasikini wa fikra alionao yeye na haoi wanaomzunguka, yaani tanzania na na rasilimali zote tulizokuwa nazo, ardhi, madini, nk tuna umasikini gani kama sio ujinga wa viongozi wetu kutajua jinsi ya kuzivuna na kufaidika na taifa nazo????
hajakosea................ Kasema kweli............ Masikini ni sisi ambao tutampa kura tena.............kwani tatizo ni ile kauli au hali yetu kimaisha.......??? ............ Wengine mmekimbilia nje ya nchi kwa kuuogopa huo umasikini halafu leo mnajifanya hamuuoni kwa vile aliyesema ni jk. Na nyie si mmesema hayo hayo ila ni kwa matendo...??
 
Kuna Thread moja hapa JF aliwai hojiwa huko nje na "Alikiri kua Hajui kwa nini Watanzania ni Maskini"
 
anatoka mkoa na ni kabila gani huyu? unajua kila kabila lina ka-laana kake!
Wachaga-ugonjwa wao ni kupenda pesa kupita kiasi, wahaya enzi zile..., wafipa, tanga, kigoma --uchawi, wahehe-kujiua, wakurya ..sisemi zisije katwa panga etc etc.

Na huyu ka laana ka kwao ni nini? mimi sijui hata kabila lake. chukulia ingekuwa ni kiranja serious wasingethubutu kuleta hicho ki-Tshirt

Mnisamehe Bure if i have offeded any one

tumekusamehe na pia Tumemsamehe J.K kwani anawakilisha aina ya watanzania wa leo
 
ukweli inajulikana kuwa ili tuendelee tunahitaji kuwa na vitu4 watu,ardhi siasa safi na uongozi bora,sasa vitu vyote vipo kanachokosekana kwetu ni UONGOZI BORA.chama dhaifu na uroho wa ajabu wa viongozi
 
Back
Top Bottom