Wambugani
JF-Expert Member
- Dec 8, 2007
- 1,757
- 276
Watanzania acheni udokozi mpate ajira JK
Imeandikwa na Na Paul Sarwatt, Arusha; Tarehe: 19th December 2009 @ 23:59 Imesomwa na watu: 762; Jumla ya maoni: 1RAIS Jakaya Kikwete amesema tabia ya udokozi na kukosa uaminifu ndiyo inayowagharimu Watanzania kupata ajira na kukemea tabia hiyo aliyosema imesababisha wawekezaji wengi kuajiri wageni kutoka nje.
Alitoa kauli hiyo wakati alipokuwa akifungua hoteli mpya ya kitalii ya Snow Crest iliyoko mjini Arusha ambayo inamilikiwa na Watanzania wazawa.
Tabia hii ya udokozi itatugharimu sana ndugu zangu Watanzania katika soko la ajira na tusipoaajiriwa tunapiga kelele sana kuwa wawekezaji wanaajiri wageni ...ni lazima tukubali kuwa waaminifu ili tupewe kipaumbele katika ajira zinazotolewa, alisema Rais Kikwete.
SOURCE: HabariLeo | Gwiji la Habari Tanzania
Hivi kweli Wapiga Kura ni wadokozi?