Kikwete wasaidie wazee wako

Jul 24, 2012
81
6
[h=6]Mwananchi Communications Ltd
[/h][h=6]Mstaafu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC) iliyovunjika mwaka 1977, Pascala Maziku akiomba dua, kwenye mkutano wa wastaafu hao uliofanyika jana jijini Dar es Salaam, ambapo alikuwa akimwuliza Mungu kama kweli wana haki ya kulipwa mafao yao au la. Mzee huyo anadai kuwa alipewa ishara ya kuwa wana haki ya kupatiwa mafao. Picha na Zacharia Osanga
[/h]
 
Jehikei anasubiri msanii kama kanumba afe ili akatoe ubani lakini siyo kusaidia wazee
 
Yupo busy kumpigia simu diamond aende ikulu ampe deal lakipiga show USA kuwafurahisha watoto wao walioko huko
 
Hii picha nimeiona asubuhi nikafikiria mambo mawili kwa haraka haraka...kwanza ni kutofanyia kazi kwa haraka baadhi ya maamuzi tunayoyatoa. Hawa wameacha kazi 1977. Kwanini hawajalipwa muda wote huo?

Pili, ukombozi wa kweli ni wa mtu mwenyewe kupigania maisha yake wakati ana nguvu zake. Inasononesha kuona wazee hawa ambao leo wako hoi, wanategemea kupata kitu ambacho sina hakika kama watapata.

Walipokuwa na nguvu zao walikuwa wapi?
 
hii hali inasikitisha sana,na huwa sielewi kwa nini serikali inawapiga danadana hawa wazee wakati majirani zetu waliisha walipa.haki ya mtu haipokwi kirahisi namna hii.
 
Hii ni dua ya mmoja tu. Wako watanzania wengi wanateswa sana na hii serikali. Ndiyo maana nchi haitawaliki
 
Mwananchi Communications Ltd

Mstaafu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC) iliyovunjika mwaka 1977, Pascala Maziku akiomba dua, kwenye mkutano wa wastaafu hao uliofanyika jana jijini Dar es Salaam, ambapo alikuwa akimwuliza Mungu kama kweli wana haki ya kulipwa mafao yao au la. Mzee huyo anadai kuwa alipewa ishara ya kuwa wana haki ya kupatiwa mafao. Picha na Zacharia Osanga

pole sana babu yangu, hili li serikali la ccm mafisadi/majambazi limejaa dhuluma. ila vitawatokea puani vyote walivyodhulumu punde tu.

Tuendeleeni kuwaelimisha wananchi, waelimike ili waling'oe madarakani hili li-serikali la ccm MAONGO/MAFISADI/MAJAMBAZI/WAUAJI
 
Hawa hawa wazee ndio wana tugeukaga ukifika uchaguzi sasa wacha waipate!
Kuna kizee hapa kina dai vimafao
vyake ila kina jifanya ccm damu!
 
Yupo busy kumpigia simu diamond aende ikulu ampe deal lakipiga show USA kuwafurahisha watoto wao walioko huko

Naona una hasira sana na waliopo USA sema tukupe mwaliko uje vacation naona longolongo limekuwa jingi sana; kama unayo nauli na hujaaribu vidole niambie nikupe mwaliko wa nguvu hata watoto wa mafisadi Chadema wapo wengi tu huku.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
chaema inahusika vipi hapo?
 
Naona una hasira sana na waliopo USA sema tukupe mwaliko uje vacation naona longolongo limekuwa jingi sana; kama unayo nauli na hujaaribu vidole niambie nikupe mwaliko wa nguvu hata watoto wa mafisadi Chadema wapo wengi tu huku.

Chama
Gongo la mboto DSM
Kwani Diamond si alikuja USA? unataka niseme UK?
 
Back
Top Bottom