Kikwete: Wapinzani ndio wanaochochea vita dhidi ya Malawi

Status
Not open for further replies.
Kwa hii kauli ya Jakaya Wamalawi wametudharau sana..aibuke shujaa mwingine aifute kwa mkwara mzito..where'z SHIMBO?
 
kama hii habari ni ya kweli sasa nimeamini kuwa Jk naye ni empty head chap! Ni kiongozi yupi wa upinzani hata mmoja aliyewahi kuchochea vita na malawi?

Halafu anaposema katu hatutapigana na Malawi maana yake hata wakiingia ndani ya mipaka yetu tutawaacha tu? hiyo kweli ni kauli ya amiri jeshi mkuu,? sikuwa naamini tuna amiri jeshi mkuu muoga!

Kidiplomasia alitakiwa kusema Tanzania haikusudii wala haina mpango wa vita na Malawi au Jirani yoyote ila ni jukumu lake kama rais na amiri jeshi mkuu kulinda mipaka ya nchi na raia wake! Hiyo ingepeleka ujumbe tosha kuwa sio kwa Malawi tu ila jirani mwingine yeyote akituchokoza hatutakaa kimya!
 
Ni wapinzani ndani ya CCM!! C unajua ndani ya CCM kuna CCJ (Nape) na akina Sitta sijui wanajipanga watokeje, so JK hajakosea kusema wapinzani wanachochea vita!!!
 
kama hii habari ni ya kweli sasa nimeamini kuwa Jk naye ni empty head chap! ni kiongozi yupi wa upinzani hata mmoja aliyewahi kuchochea vita na malawi? halafu anaposema katu hatutapigana na malawi maana yake hata wakiingia ndani ya mipaka yetu tutawaacha tu? hiyo kweli ni kauli ya amiri jeshi mkuu,? sikuwa naamini tuna amiri jeshi mkuu muoga!
Mkuu mpaka leo, du umechelewa sana, wenzako sasa hatushangazwi tena na kauli zake tena cos tunaijua kichwa yake.
 
we are ready to defend our sovereignty at any cost," said Committee Chairman, Edward Lowassa (CCM).

Mr Bernard Membe, strongly warned Tanzania's southern neighbour, Malawi. He ordered an immediate stop to all gas and oil prospecting activities on the portion of Lake Nyasa that falls on the Tanzania side.

Prof Abdallah Safari(CDM), a lawyer and expert in international relations, urged both countries to respect the international laws which show boundaries between countries

Prof Mwesiga Baregu(CDM) warned both countries not to engage in military confrontation. Rather, said the Professor in Political Science and International Relations, the two countries should resolve the dispute diplomatically. "Both countries should not be drawn into military action because the consequence of doing so is very dire not only to Tanzania and Malawi but for the entire Sadc (Southern Africa Development Community) region," warned Prof Baregu
haya hapo mpinzani yupi ccm yupi????
 
Source: BBC..anasema viongozi wa upinzani ndio wanaoongelea maswala ya vita dhidi ya wanyasa concern mgogoro.AMESEMA KATU TANZANIA HAITAPIGANA NA MALAWI.mytake Lowassa,membe,Sitta ni Wapinzani?

Alisahau kumalizia kusema ni wapinzani wa uraisi 2015 ndani ya chama cha mabwepande.
 
kama hii habari ni ya kweli sasa nimeamini kuwa Jk naye ni empty head chap! ni kiongozi yupi wa upinzani hata mmoja aliyewahi kuchochea vita na malawi? halafu anaposema katu hatutapigana na malawi maana yake hata wakiingia ndani ya mipaka yetu tutawaacha tu? hiyo kweli ni kauli ya amiri jeshi mkuu,? sikuwa naamini tuna amiri jeshi mkuu muoga! kidiplomasia alitakiwa kusema Tanzania haikusudii wala haina mpango wa vita na Malawi au Jirani yoyote ila ni jukumu lake kama rais na amiri jeshi mkuu kulinda mipaka ya nchi na raia wake! hiyo ingepeleka ujumbe tosha kuwa sio kwa malawi tu ila jirani mwingine yeyote akituchokoza hatutakaa kimya!


Mkuu protocal ya rais kushinei kabisa.
Hawajui hata wamshauri nini!

This is very big embarrassment to the state, but we are used to it.
 
Lahaula, sometimes mr president asiwe anaongea na vyombo vya habari jamani, mbona anatuaibisha?
 
Hii ni aibu unless iwe imepikwa....
Malawi watatuona ni dhaifu maana dalili zinaonesha walishaanza kuogopeshwa na kauli za vita.
 
Du wametupeleka musumbiji ili wamsumbiji wajue ujinga wetu, then angola, namibia, botswana then wana dlare war. ilikuwa vema mazungumzo yafayikie kenya. malawi hofu yake ni hizo nchi kwenye hii issue tukipoteza kibali kwa hizi nchi tumechapika.
 
Walichosema Membe na EL ndicho sahihi and in fact ndicho kilichotakiwa kusemwa na JK yeye kama Amiri Jeshi Mkuu!.

Kazi ya jeshi ni kulinda nchi na mipaka yake 24/7. Nchi jirani inajimegea pande la Tanzania kwa kuhamisha mpaka halali huku Amiri Jeshi wetu akiponda maraha kwenye trips bila kusema chochote na badala yake anafunguka pale tuu alipokutana na she wa Malawi ndipo anapojitangaza yeye ndie Amiri Jeshi!.

Mpaka halali ni katikati ya Ziwa Nyasa, Baada ya kushindwa vita kuu ya Kwanza, Waingereza waliipoka Tanganyika ule mpaka na kuukabidhi kwa Malawi. Ilitakiwa ile siku tunapata Uhuru na mpaka urudishwe, haukurudishwa hadi sasa Wamalawi wanajiona ni halali yao na wamejiapiza kufa nao!.

Msimamo wa EL na Membe ndio msimamo thabiti, mpaka ni pasu pasu na hakuna mjadala wala diplomasia chini ya hapo!.

Kwa vile tayari kuna dhana ya "Dhaifu" kushindwa kufanya maamuzi magumu na kuopt kubembeleza, na tumesha subiri mpaka halali kwa kipindi cha miaka 50, hatuwezi kushindwa kuvumilia miaka miwili na nusu iliyobakia ambapo nchi itatwaliwa na amiri jeshi ambaye sio dhaifu ataurudisha mpaka halali mahala pake!.

Niungeni mkono 2015 kwe CCM asimame ama EL, ama Membe tupate ukombozi wa kweli wa pili wa Mtanzania!.

Pasco.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom