Kikwete: Waliochochea ukabila ndio wanachochea udini leo...

Status
Not open for further replies.
Mwana Mpotevu Hii mbona iko wazi inawalenga CDM moja kwa moja, kwani wao ndio 90% ya viongozi wao wanatoka kaskazini, na sasa wameleta udini chini ya mwamvuli wa kanisa

Hajakosea haswa hata ile RADIO IMANI NI YA CDM!

Nimekumbuka ule utani wa wanasayansi kutoka Germany, Russia, China, USA na Tanzania!
 
kwa nini hao wapare hawakumuuliza amechukua hatua gani au anakuja waimbia wimbo bila ngoma ,
 
Tatizo Jk hajui hata wana vijiji siku hizi wameshamjua, wanamchora tu.
 
JK ni DHAIFU period enyi watz mliopa kura huyu jamaa nanyi njoote ni DHAIFU na vilaza wakubwa.... Mara 100 mkempa hiyo kura yenu hata FAHIM DOVUTWA
 
Kikwete anauwezo mdogo wa kufikiri sijawahi kuona rais wa namna hii ktk dunia ya sasa
 
JK ni DHAIFU period enyi watz mliopa kura huyu jamaa nanyi njoote ni DHAIFU na vilaza wakubwa.... Mara 100 mkempa hiyo kura yenu hata FAHIM DOVUTWA
Remote ???? above all people?? Dovutwa??????
 
Last edited by a moderator:
Wakati akigombea 2005 Ni Askofu Kilaini (Mkatoliki) alimsifia kuwa kikwete ni chaguo la Mungu akafurahi saaana na tabasama la kujibweta, 2010 Kanisa halikutoa kauli ya kumsifia mambo yalipomlemea akaanza kutokana na squrd ya Slaa, akusema CDM ni wadini, mboa aliposifiwa na Kilaini 2005 hakusema kuwa yeye ni mdini? na kwanini hkuikataa sifa za kijinga alizopewa akisanifiwa, tuna raisi kichwa cha samaki kweli. aliyaanzisha mwenyewe ngoja yameze.
 
Hivi mama salma anaendeleaje ma kichanga chake?? Kweli rais tunaye!
 
Mwana Mpotevu Hii mbona iko wazi inawalenga CDM moja kwa moja, kwani wao ndio 90% ya viongozi wao wanatoka kaskazini, na sasa wameleta udini chini ya mwamvuli wa kanisa

Hivi hiyo asilimia tisini (90) unayoisema ya viongozi wa CHADEMA wanaotokea kaskazini ni ipi? Naomba unitajie hao viongozi ambao kwa takwimu zako ni asilimia tisini la sivyo nitaamini kuwa unafikiri kwa kutumia kiuno au kile kiungo nyeti cha kukalia.
 
Akiguswa tu kwenye suala la Rushwa na madudu mengine,basi huwa anakimbilia kwenye mwavuli wa dini,maana ni wazi sasa anaondoa lawama kwa wale waliowaita "wahuni",na kuendelea kuishinikiza sympathy ya udini kutpka kwa wananchi wa imani yake.

Rais wa nchi hata kama una dini,hautakiwi kuchaguwa upande wa dini yako na kuzidi kuzichochea hisia za kidini kwa kuwanyooshea kidole wapinzani wako wa kisiasa huku ukijuwa ni uongo.Anaposema "hakutapatikana mshindi",tayari anajenga hisia kuwa dini yake inanyanyaswa.

Kweli watanzania mtajuta kumchagua JK.
 
Hivi hiyo asilimia tisini (90) unayoisema ya viongozi wa CHADEMA wanaotokea kaskazini ni ipi? Naomba unitajie hao viongozi ambao kwa takwimu zako ni asilimia tisini la sivyo nitaamini kuwa unafikiri kwa kutumia kiuno au kile kiungo nyeti cha kukalia.

huyo achana naye alishajichokea hajui analofanya
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom