Kikwete: Walioambukizwa UKIMWI ni kiherehere chao

Kweli JK hapa ka-bore kwa jinsi alivyotumia lugha kutoa ujumbe lakini ule ujumbe wenyewe wa kwamba kupata UKIMWI kupitia ngono baada ya maridhiano ya watu wawili mwanaume na mwanamke ni wa kujitakia. Tatizo hapo JK ametumia lugha isiyofaa kwa kundi la watu wale wenye uelewa mdogo na elimu ya chini au kutokuwa na elimu kabisa ya msingi na kwenye masuala ya ukimwi. Na tafiti zinaonesha ngono ndio njia ambayo inaongoza kwa kusambaza VVU. Yeye angeweza tu kuwaambia namna ambavyo angewasaidia na janga hili kama vile kupunguza kabisa umaskini wao ambao unachochea pia maambukizi kitu ambacho ni ndoto! Pia ameshindwa kufahamu kuwa 'sex' ni moja ya 'basic needs'!
 
Huyu JK wa CCM anawanyanyapaa sana watu wenye ukimwi na watoto wanaopata mimba mashuleni, hivyo basi Raisi mtarajiwa Dr Slaa, wabunge watarajiwa wa Chadema na madiwani toka chama cha Chadema tumieni mwanya huo kuomba kura zao kama mlivyoziomba za wafanyakazi
 
Huo ndiyo ukweli. Unauvaa mdudu kwa kiherehere chako mwenyewe. It is simple to prove JK wrong. Kufanya hivyo unatakiwa uende pale Maisha Club na kiherehere chako halafu tafuta changudoa moja lililochokachoka kidogo halafu jimwage bila ya kutumia kinga. Fanya hivyo kwa wiki nzima. Baada ya wiki ngojea kama wiki mbili halafu nenda Angaza ukapime. Ukionekana kubeba virusi vya Ukimwi hiyo itamaanisha kuwa JK alikuwa right na kama utakuwa haujauvaa huo ugonjwa basi utakuwa ushapruvu kuwa JK alikuwa anadaganya. :becky:
 
JK na kunyanyapaaa! Jisomee gazeti la mwananchi, 29/09/2010

Akizungumza katika mkutano wake wa awali uliofanyika Kijiji cha Lalago, Kikwete aliunyamazisha umati huo baada ya kuanza kuelezea maambukizi ya Ukimwi yalivyoshamiri kijijini hapo na wilaya nzima ya Maswa.

"Ndugu zangu maambuziki ya ukimwi hapa yako juu sana. Maambukizi hapa Lalago ni asilimia saba, nikiwa na maana kuwa kati ya watu 100, saba wanaugua ukimwi. Maswa ina wagonjwa 3,000 wanaohudumiwa na serikali," alisema Kikwete.

"Sasa, naomba akina mama wanapokwenda kliniki, muombe kupima ukimwi. Ukipata Ukimwi unajitakia kwa hiari yako; unaweza kujikinga kwa kuwa kupata Ukimwi si bahati mbaya; ni bahati mbaya ni kwa mtu aliyebakwa au aliyeongezewa damu isiyo salama."
Kikwete aliongeza kusema: "Lakini wengine ni kwa viherehere; wanapanga kupata kwa kuwa mnapanga siku; saa; na mahala pa kukutania. Sasa basi, mkipanga mkubaliane, nani alete kinga, wewe
au yeye... ndugu zangu tufuate mafundisho ya viongozi wa dini kuwa msivunje amri ya sita.
"Wale ambao bado wasubiri wakati wao na wale ambao wako kwenye ndoa zao wadumishe uaminifu... hapa uaminifu ni mgogoro."

uwezo wake wa kufikili umeishia hapo jamani jamaa ni kila....... kwelikweli!!
 
Ni aibu kuwa na rais asiyejua njia ambazo ukimwi unaambukizwa.
 
Hiv nyie mlivyodanganywa 2005 kuwa jamaa ni mtu wa watu na ni chaguo la MUNGU bado mnaendelea kuamini? Wanafalsafa wanasema ili kumjua vizuri mtu mpe pesa na madaraka. Baada ya kumpatia madaraka na fedha zetu nadhani sasa Watanzania wenye akili wameshamjua JK ni nani, IQ yake ikoje na uwezo wake wa kukabiliana na matatizo ya watanzania ktk kuondoa umasikini ukoje, na je anafaa kuongoza familia, ukoo, kata, tarafa,wilaya, mkoa ama Taifa? ukishafanya upembuzi yakinifu kwa uongozi wa JK, Tafakari kisha chukua ........................... oct 31.
 
Ujinga kama huu ni lazima tuukumbuke sana! Bado mtu akapewa miaka 10 ya kuishi ikulu!
 
Back
Top Bottom