Kikwete, Unatuchanganya bwana!

Kingereza sio kipimo cha mtu makini, hizo ni fikra za kitumwa kumbuka luga yako ya taifa ni kiswahili!!! Watanzania walio wengi wanajua kuandika ki english bt hawajui kuongea kwasababu english ni 3rd language kwa walio wengi..kuhusu kuongea ni jotiada binafsi za mtu na sio shule...ndio maana ukimkuta engineer wa ki tz utakuta akiongea ki engineer zaidi na ma doctor nao ivyoivyo...tupende luga yetu ninauhakika tutafika mbali tuki ithamini luga yetu..wa tz wengi hawajui kuongea ila ukimpa paper ya english na mzungu anamshinda, ndo maana ata kiswahili watu wana ongea bt ukimpa mtihni ana feli... So funguka kwa ilo kaka...

Hapa swala si kupenda lugha wala nini, elewa kama imekugusa pole sana ila ukweli unabaki pale pale unafundishwa kingereza toka sekondary i mean form one mpaka unapata phd sasa iweje ushindwe kuongea kingereza vizuri, ni upumbafu tu kuforge mpaka lini?
 
Mmewakataa kwenye ubunge ila si ktk nafasi nyingine za uongozi. Wengine ni wazuri ila walikosa ubunge kwa fitina.
wee apo umeongea ukweri mtupu, kuna watu waligombea wakakosa lakini ni wazuri mara 100 ya hawa tunaowaona kwa iyo isiwe kigezo eti kwa kuwa alikosa ubunge au udiwani asipewe nyadhifa zingine. hacheni ujinga nyie na hata wakuu wa wilaya itakuwa hivo mutake musitake
 
tena anatuchanganya maradufu maana hakuna hata taasisi ya serikali ambayo inafanya kazi mambo yamenyooka.
1.umeme taabu,maji taabu,nssf na ppf taabu,police taabu,halmashuri zote taabu,madini taabu,mbuga za wanyama taabu,mfumuko wa bei shida,shirika la ndege hoi,shilingi ya tanzania kushukaaa lakini wazungu wanatusifu wakati wakifika kwetu huweka vitambaa mdomoni kwa hewa chafu za vumbi na takataka mijini.

why i have born in Tanzania?????????????????????????????
 
tunahasara ya kiongozi wajameni.......jk siyo...tulikosea toka mwanzo kumchagua
 
JONHSECOND Kumbuka wewe ulikua wa kwanza kuimba ule wimbo wa;mgombea wetu chumchague .........................................................ni chaguo la mungu......................huku ukiwa na kitambaaa cha rangi ya majani kichwani?Sasa leo unataka nini tena subiri hadu 2015.
 
wewe john kujua kiingereza hakuna uhusiano na kuwa Dr. kule china, Ufaransa na Japani kuna maprofessor wengi sana ambao hawajui kiingereza. Au wewe ndo wale wa yes yes mzungu kala mafenesi? English is just a language, the same as Kiswahili et al.

Please naomba nikuulize! kuna elimu inayotolewa kwa kiswahili hadi U-Doctor? Hao uliowataja wanatoa elimu kwa lugha hizo..... try to think.
 
Back
Top Bottom