Kikwete, Unatuchanganya bwana!

Kama mtu panda hindi yeye tavuna Nini banaaa??? Weka swali kwa kichwa yako na jibu yake tajua mwenyewe....
 
Inakuwaje uteuzi wako wote ukanyooshewa vidole? Unamwakilisha nani hapo? kama ni wananchi mbona watu tuliowakataa kwenye kura wewe unawapa madaraka?

Mimi kwa kweli inaniuma sana hasa kipindi hiki cha huyu jamaa.

Basi bwana; weye mshindi . . . .

kwa kweli sikumpa kura JKM 2005!
 
djwabongo tuache kulalamika.hizo ni chuki binafsi.au mlitaka ndugu zenu wateuliwe ndo mfurahi?wale mnaowachukia nyie mkiona wanapata furSa ya kuitumikia nchi yetu mnanuna,acheni r
oho mbaya wakubwa.let me ask u friends.wat exactly are problemz wit those pple u r blaming.toeni mapunguf apa km hamjaaibika.kukoSa kuRa haina mana kuwa hauwezi kazi.siasa na utendaj ni vitu viwili tofauti
Ningeshangaa sana kama hii post isingechangiwa na watu wenye mawazo mgando kama wewe.
 
Ngendu kweli Wewe ni masikini wa fikra, maana unashindwa kutoa Johan za msingi unaishia kutukana watu..watu kama wewe hamfai kupewa ata kazi ya kuchunga mifugo maana wanakuzidi busara. Unadharau maelfu ya wananchi walio mchagua Lena na Mr Sugu, Mimi nimezaliwa arusha na kukulia arusha..tu adhiirishie kuwa Lema alikuwa mwizi!!! Alafu unamsharau Mr Sugu kosa alikuwa muimbaji na Sasa ni mbunge wa mbea mjini..Kuwa muimbaji sio kuwa huwezi kuongoza ata Mel Nyerere alikuwa mwalimu hakuwa amesomea uongozi, hao waliochaguliwa na Raisi niwatu wakawaida kama Wewe tu siokwamba nibora kuliko wengine...TAFADHALI UJIFUNZE KUTOA MADA ZA MSINGI MAANA UKU JF HAKUNA MTU ANAEPENDA KUPOTEZA MDA KUSOMA UJINGA..Undharau mtu kama Mr Sugu bt nae ameaoma na kuwa muimbaji sio sababu yakumbeza SOMA HISTORY NA SEHEMU MBALIMBALI SUNIANI LABDA ITAKUSAIDIA..NAPIA WEWE UNAE DHARAU WEZAKO JOULIZE UMEIFANYIA NINI NCHIYAKO NA SIO USHABIKI WA KIJINGA, UKWELI UTABAKI KUWA UKWELI WAKO WASOMI WENGI HAIKUWA LAZIMA WACHAGULIWE MABALOZI HAO WALIOSHINDWA KWENYE KURAZA MAONI NA CHAGUZI MBALIMBALI...JIFUNZE KUFILIRIA KABLA YA KUTENDA MAANA APO UMETUKANA WATU WAARUSHA NA MBEA KUWA NIWAJNGA KUMBE NI FIKRA ZAKO ZAKURITHI....ATAKAMA BABA AU NDUGU YAKO YUKO CCM AMKA MZEE..
 
Nchi hii hakuna mfano jinsi tulivyo wajinga,asilimia 90 ya viongozi alioteua kikwete si waadilifu na sisi tunamchekea nchi nyingine moto ungekuwa ulisha waka na jk angekua anaishi uhamishoni.
 
Umenena mkuu.
Kwa Tz kuitwa Dr. lazima lugha ipande la sivyo mvivu kusoma maana kuanzia sekondary ni kizungu mpaka chuo kikuu. Nchi unazotaja wanasoma masomo yote kwa lugha zao na ni nchi ambazo zimeendelea lakini sisi kiswahili mwisho msingi. Sasa wewe mpaka unakuwa doctor kizungu usijue?????? shame
 
Inakuwaje uteuzi wako wote ukanyooshewa vidole? Unamwakilisha nani hapo? kama ni wananchi mbona watu tuliowakataa kwenye kura wewe unawapa madaraka?

Mimi kwa kweli inaniuma sana hasa kipindi hiki cha huyu jamaa.

Basi bwana; weye mshindi . . . .

Hebu acheni wivu, kama vipi na wewe gombea urais kupitia ccm.
 
Inakuwaje uteuzi wako wote ukanyooshewa vidole? Unamwakilisha nani hapo? kama ni wananchi mbona watu tuliowakataa kwenye kura wewe unawapa madaraka?

Mimi kwa kweli inaniuma sana hasa kipindi hiki cha huyu jamaa.

Basi bwana; weye mshindi . . . .
Kwa nini kulalamika? Kikwete si mlimchagua wenyewe baada ya kupewa vikofia vya kijani na chumvi? Mwacheni afanye anavyoona inafaa ili safari nyingine mjifunze kuondoa ushabiki wa Yanga na Simba katika siasa.
 
Mjomba ana huruma saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana,anataka kila mtu apate,hataki lawama bana
ni bora liende, mda wake uishe,msije mkamlaumu kuwa hajawapa nafasi wazee
 
wewe john kujua kiingereza hakuna uhusiano na kuwa Dr. kule china, Ufaransa na Japani kuna maprofessor wengi sana ambao hawajui kiingereza. Au wewe ndo wale wa yes yes mzungu kala mafenesi? English is just a language, the same as Kiswahili et al.

Usilinganishe elimu ya China au Japan na ya Tz kwa sababu sisi watz tuliamu kutumia kingereza kama Lugha ya kufundishia masomo yote kuanzia kidato I mpaka vio vikuu. Na china na Japan wanatumia lugha zao kufundushia kuanzia level ya chini hadi vio vikuu. Ikitokea mtz anadai kuwa na uDr ktk fani fulani na wakati huo akaonekana kuongea kingereza cha kuungaunga basi ujue kuwa huyo ni fisadi wa elimu, kwa maneno mengine vyeti vyake ni vya kuchonga! Na si original!
 
Inakuwaje uteuzi wako wote ukanyooshewa vidole? Unamwakilisha nani hapo? kama ni wananchi mbona watu tuliowakataa kwenye kura wewe unawapa madaraka?

Mimi kwa kweli inaniuma sana hasa kipindi hiki cha huyu jamaa.

Basi bwana; weye mshindi . . . .

Ok hebu tupe list uliyokuwa unaitarajia ya mabalozi wa nchi husika tuone
 
Kingereza sio kipimo cha mtu makini, hizo ni fikra za kitumwa kumbuka luga yako ya taifa ni kiswahili!!! Watanzania walio wengi wanajua kuandika ki english bt hawajui kuongea kwasababu english ni 3rd language kwa walio wengi..kuhusu kuongea ni jotiada binafsi za mtu na sio shule...ndio maana ukimkuta engineer wa ki tz utakuta akiongea ki engineer zaidi na ma doctor nao ivyoivyo...tupende luga yetu ninauhakika tutafika mbali tuki ithamini luga yetu..wa tz wengi hawajui kuongea ila ukimpa paper ya english na mzungu anamshinda, ndo maana ata kiswahili watu wana ongea bt ukimpa mtihni ana feli... So funguka kwa ilo kaka...
 
mtu hawezi kupendwa/kukubalika na watu wote
hata hawa waliopendekezwa hawakupata zero kwenye kura za maoni za ubunge hii inaonyesha kuwa wanaubalika katika badhi ya mambo
 
bila yakuacha ushirikina na kumkimbilia Mwenyezi Mungu wa kweli tumekwisha......................
 
Back
Top Bottom