Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 71,265
- 105,432
At the risk of "blaming the victim"...
Kikwete ni kama kioo cha Watanzania wengi tunavyofikiri.Kwa hiyo badala ya kumlaumu sana Kikwete kama yeye ndiye tatizo letu kubwa, tujiangalie sie wenyewe kama jamii.
Kuanzia watoto, vijana mpaka wazee wengi wetu tumekuwa na fikra za kutaka misaada kuliko kufanya kazi.
Na zaidi ya yote,Kikwete kachaguliwa mara mbili na Watanzania, wana imani naye - kama utaachilia mbali uwezekano wa kuibwa kura- kwa hiyo ni lazima tujiulize ni kwa nini Kikwete kachaguliwa mara mbili kama ni mtu wa ovyo hivyo? Ina maana sehemu kubwa ya watu wetu ndio wako au wamekubali hivyo?
Tusiangalie sana kutibu dalili ya ugonjwa tukaacha kutibu ugonjwa wenyewe.Huwezi kutibu TB kwa Cofta. Kumuondoa Kikwete ni rahisi, after all anastaafu urais 2015.Kuziondoa hizi mentalities za ajabuajabu bongo ni kazi kubwa zaidi.
I am afraid as hopeful the opposition looks while in opposition - if indeed you can call the current state of the opposition hopeful-, if we do not address our core systemic issues hata wao wanaweza ku succumb to the same societal bottlenecks. And I say that with all the best intentions and hoping that I am wrong for the sake of our country. Kwa sababu kama tuna matatizo katika mzizi wa jamii yetu, haijalishi chama au itikadi iliyoshika utawala, tutazunguka pale pale tu.
Inawezekana kabisa kwa pool ya viongozi tulionao sasa rais ajaye akawa wa ajabu kuliko Kikwete ( hebu fikiri rais atoke CCM halafu awe a weakling, a Pinda type), mkamkumbuka Kikwete na kusema "afadhali Kikwete" kama sasa hivi watu wanavyomkumbuka rais Mwinyi na kusema "afadhali Mwinyi" ingawa alivyokuwa madarakani alikuwa anasemwa kila siku.
Tuangalie matatizo yetu kwa upana mkubwa zaidi ya matatizo ya uongozi ya mtu mmoja, ingawa pia naelewa kwamba katika nchi ya top down structure, rais ana nafasi disproportionate ya kufanya mambo yawe mazuri au kuharibu.