Kikwete unatuaibisha watanzania

PISTO LERO

JF-Expert Member
Mar 8, 2011
2,819
1,454
Jana katika taarifa ya habari ya ITV na STAR TV nilishangazwa na kitendo cha Raisi kushangilia,kuimba na kutoa maneno ya kejeli kwa wapinzani,kwenye ufunguzi wa kisima cha maji ambacho hatujajenga wenyewe ni kutokana na misaada kitendo hicho ni sawa na kutudhalilisha watanzania na kuonyesha ulimwengu kuwa Tanzania hakuna tunachokiweza kwa nguvu zetu wenyewe bila kupewa msaada.

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Kamishna wa Maendeleo katika Jumuiya ya Ulaya Andris Piebalgs(wapili kushoto), balozi wa jumuiya ya ulaya nchini, Cerian Philberto Sebregondi(kushoto),Balozi wa Ujerumani nchini Klaus Peter Brandes na Waziri wa Maji Profesa, Jumanne Maghembe wakikata utepe kuzindua rasmi mradi wa maji safi na mazingira Mjini Mbeya.

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete,Kamishna wa Maendeleo Jumuiya ya Ulaya Andris Piebalgs (Wa tatu kushoto) na Waziri wa Maji Profesa Jumanne Maghembe wakikagua chanzo cha maji eneo la Swaya mjini Mbeya wakati wa uzinduzi wa mradi maji safi
 
Nowonder uchumi wa TZ haukui.Rais mzima badala ya kutunga sera zenye maslahi kwa taifa anaishia kutafuta maneno ya kashfa tu!
 
Ndio tatizo la kuongozwa na mzaramo. Kazoea taarabu kila mahali na katika kila jambo.
 
Kikwete sio Mzaramo ni ******, lakini hata kama angekuwa Mzaramo tatizo ni uwezo wake na wala sio uzaramo wake, acha ukabila!
 
Jana katika taarifa ya habari ya ITV na STAR TV nilishangazwa na kitendo cha Raisi kushangilia,kuimba na kutoa maneno ya kejeli kwa wapinzani,kwenye ufunguzi wa kisima cha maji ambacho hatujajenga wenyewe ni kutokana na misaada kitendo hicho ni sawa na kutudhalilisha watanzania na kuonyesha ulimwengu kuwa Tanzania hakuna tunachokiweza kwa nguvu zetu wenyewe bila kupewa msaada.

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Kamishna wa Maendeleo katika Jumuiya ya Ulaya Andris Piebalgs(wapili kushoto), balozi wa jumuiya ya ulaya nchini, Cerian Philberto Sebregondi(kushoto),Balozi wa Ujerumani nchini Klaus Peter Brandes na Waziri wa Maji Profesa, Jumanne Maghembe wakikata utepe kuzindua rasmi mradi wa maji safi na mazingira Mjini Mbeya.

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete,Kamishna wa Maendeleo Jumuiya ya Ulaya Andris Piebalgs (Wa tatu kushoto) na Waziri wa Maji Profesa Jumanne Maghembe wakikagua chanzo cha maji eneo la Swaya mjini Mbeya wakati wa uzinduzi wa mradi maji safi
Mimi bado issue yangu narudi palepale, je fedha zetu ambazo zingeleta maendeleo zilizofichwa kwenye mabenki ya Uswiss, SA, of shore ACCTS, CayMans Islands tukisema zirudishwe zifanye maendeleo mbona wamekaa kimyaaaa, vipi kulikoni wizi umeruhusiwa???
 
Wakati mwingine Mungu anawatumia watu kutoa adhabu kwa watu wanaotumia utashi na akili zao vibaya

Ndugu Watanzania Mungu anatuadhibu kupitia kwa CCM na Viongozi wake kwakuwa tulitumia akili na utashi wetu vibaya katika kufanya maamuzi!.

Adhabu hii itaendelea na kuzidi ukali kila tunapoendelea kufanya dhambi hii!.
 
Kikwete sio Mzaramo ni ******, lakini hata kama angekuwa Mzaramo tatizo ni uwezo wake na wala sio uzaramo wake, acha ukabila!

mkuu eeti hata kabila lake linagoma kuandikika ma mod lekebisheni bwana tunashindwa hata kusema jk kabila lake ni mkwereee
 
Viongozi makini wa Chadema wameamua kumpuuza , wacha aseme atakavyo ajidanganye mwenyewe lakini ukweli ni kuwa uongozi umemshinda , ni dhaifu mno.Kukaa kimya ni jibu zuri sana kwa mjinga. M4C mwendo mdundo.
 
JK ana hali mbaya sana sema anajikaza tu. Hazina hakuna hela nyie ngojeni muone kitakachotokea mwezi huu kwenye salio(salary)
 
KUNA USEMI WANASEMA UTAKULA ULIKOPELEKA MBOGA KWAHIYO WAtz TUNAKULA MAUMIVU HAYA TULIKOPELEKA KURA.. TUVUMILIE TU 2015 SIYO MBALI
 
Back
Top Bottom