Kikwete umetutukana waongea kiswahili, utuombe samahani, Pole wana UDOM

Naungana na JK kuwapa makavu hawa wanaosoma kozi za ukalimani
Si ajabu mkimaliza chuo hampati kazi na mkipata mwaona faraja kulipwa kwa TGS D.
OTIS
 
kwa kuonyesha hazina ajira kozi za art zote zimefutiwa mkopo mwaka huu na education ni asilimia 50 tu
 
Ni heri mtu akwambie ukweli hata kama unauma ili uchukie, kuliko akuambie uongo na kukupaka mafuta kwa mgongo wa chupa ili ufurahie...

Kiswahili kitamu saaana...Kikwete imekuwaje tena unaongea senteso za kukibananga?
 
Back
Top Bottom