Juzi nilipata bahati ya kutembelea Kenya nilikuwa nahudhuria mkutano fulani pale Nairobi. Katika matembezi mtaani nikakuta tayari wenzetu wameanza kujenga fly overs katika makutano matatu na nilivyo uliza nikaambiwa huo ni mwanzo tu.
Mimi nimerudi najiuliza hivi zile ahadi za Kiwete za kujenga fly-overs zimeishia wapi?? Au ni maneno tu ya ******??
Mimi nimerudi najiuliza hivi zile ahadi za Kiwete za kujenga fly-overs zimeishia wapi?? Au ni maneno tu ya ******??