Kikwete: Ukiwa Kiongozi mpya ni lazima uonekane kweli mpya na mambo yawe mapya

Lituye

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
1,862
5,680
Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete amesema hivi leo ukiwa Kiongozi mpya ni lazima uonekane kweli mpya na mambo yawe mapya. Kama mkuu wa chuo mpya atajitahidi kutatua kero zilizopo hapo chuoni.

Akaongeza kusema "Unapokuwa mpya watu wanataka mambo mapya pia, lakini yawe mapya ya maendeleo na sio (mapya) ya kuharibu kule tulikotoka" Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete.

Hayo ameyasema Leo akihutubia katika kongamano la kuadhimisha miaka 55 ya utoaji elimu chuo kikuu cha Dar(UDSM)

Sisi wanazuoni tumemuelewa Jakaya Kikwete vizuri akiongea kifalsafa zaidi sijui wewe mwenzangu umemsoma?

 
Back
Top Bottom