TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 24,873
- 11,252
Something must be wrong with kikwete!
Labda...
Lakini tujiulize, how do we behave under pressure?? Mheshimiwa amekuwa kwenye too much pressure kutokana na kuangushwa na waliomzunguka [kuanzia ikilu hadi mawizara]. kwakweli mimi namuombea afya tu maana pressure aliyonayo si ya kawaida kwa binadamu!!! tumeona Obama anavyostruggle sasa hivi na kila public address... Kikwete must be feeling the same pressure
Pole Mzee, lakini urais si lelemama na ndio maana;
ukigombea kisiasa,
utashinda kisiasa
na nchi utaongoza kisiasa,
tahamaki, urais si siasa!!!