Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,529
- 8,614
Siamini kama Rais wa nchi anaweza kujibu hivyo anaonewa wivu???? ni lini JK ataamka aongoze nchi badala ya kuendekeza U-Vasco Da Gama???? anaona sifa eti nani ataenda kwenye mikutano,sasa nani anamfanyia kazi zake pale magogoni???? kama wanaweza iweje kwenye ruti ndo wasiweze!!!!!!
QUOTE]
JUZI MUSEVENI ALIPANDA ECONOMY CLASS YA BA TOKA MAREKANI....HUYU ANAENDA TENA NA WATU 60[OMBA LIST YA HAO WATU 60 FOREIGN UTACHEKA...WENGI WATAKUWA VICHECHE]...tutakumbuka ule mkutano wa mazingira wa mwisho ulifanyikaga BRAZIL..tanzania ilipeleka ujumbe mkubwa kuliko hata marekani..