mawazoyangu
JF-Expert Member
- Jan 17, 2011
- 324
- 65
Hivi rais anaijua nchi yake yote? au anajua mamkao makuu ya wilaya za mikoa yote tz. Nasema hivyo kwa kuwa kama anajua nchi yote asingeweza kuropoka upuuzi aliousema. Kuna shule ya sekondari iko sehemu hata gari kwenda huko ni kazi sasa huo mkongo sijui hayo mawasiliano yatafanyaje kazi. Hapa amedanganya wazi wazi. Kwa hili sikubaliani nae kabisa kwa hili RAIS AMEDANGANYA UMMA HADHARANI na adhabu yake ni yeye kujiuzulu tu