Jamani labda mimi sielewi kiswahili hivi mkondo wa mawasiliano ndiyo setelliti au internet.
Kama moja kati ya hayo ni sahihi basi rais wetu anaota ndoto tena ya mchana, sitaki kumkumbusha matatizo kama ya umeme madarasa walimu nk, nataka kumwambia hata nchi zilizo endelea hawajafika huko nasema hivyo kwa sababu nimewahi kufundisha baadhi ya shule kwenye nchi za EU, atenganishe kufindisha kwa komputa (Power Point) na kutumia settllite au internet.
Shule zenyewe anazosema ndizo hizi au hizi hazitakuwemo kwenye mpango wake, kama zitakuwemo anategemea ataziboresha ndani ya hiyo miaka mitano kabla ya mpango wake kuanza? Tusidanganyane mchana mchana.